Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
-
- #121
Alomuumba ndo kasema ni najisi, umekatazwa kula na mungu lakn unaweza kula ukimpenda sanaSasa Nguruwe kuwa na kwato au kuwa nazo Mimi zinanihusu Nini?
Kwani Mimi ndo niliyemuumba?
Kuna manajisi kuliko viongozi wa serikali? Mbona tunaongozwa nao na hakuna manoma wala manini?Kula lakn ni najisi ujue tu
"mungu" kakataza asile ila "Mungu" katuruhusu tule. piga kelele moja kwa mduduUnamuelezea "mungu" wa wapi?
Kasome historia hapa tunazungumzia dini na sio milaMababu zetu enzi zile walisemaje ? Au wao hawakupata Memo kuhusu haya mambo mpaka yalipoletwa na Merikebu ?
Nenda jukwaa la siasa Katoe malalamiko yako hapa tunamzungumzia nguruweKuna manajisi kuliko viongozi wa serikali? Mbona tunaongozwa nao na hakuna manoma wala manini?
Piga kitimoto wewe, achana na maushamba yako hayo. Yaani ukishaanza maisha ya kupakapaka hinnah tu unataka kuleta makatazo ya kale.
Hebu agiza kilo halafu nitumie lipa mamba yao nirekebishe.
Ni haramu kwenu. Sisi tunaoamini kwenye mizimu na uafrika tunagonga fresh tuu na hakuna baya kutukuta. Huko firdausi kwenu mtajua wenyeweKatika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.
Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula nyama yao, wala hamgusi mizoga yao. Hao ni najisi kwenu."
Pia, kuna vifungu vingine vinavyopinga ulaji wa nguruwe kama vile Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 14:8 ambacho kinapinga ulaji wa nguruwe, na Matendo ya Mitume 15:28-29 ambayo yanahimiza waumini kuepuka kula nyama iliyotolewa kwa sanamu na damu.
Kwa upande wa Uislamu, Quran inapinga ulaji wa nguruwe na inachukuliwa kuwa ni haramu kwa Waislamu. Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.
NB: TUJADILI KWA AYA NA VIFUNGO MBALIMBALI ZA VITABU MBALIMBALI VYA DINI NGOJERA HAZITAKIWI.
View attachment 2613342
Hayo mawazo yako, sio maagizo ya mungu"mungu" kakataza asile ila "Mungu" katuruhusu tule. piga kelele moja kwa mdudu
Kama una mizimu kula ujakatazwa kabsa, ila kama mkristo Au Mmuislam kakatazaNi haramu kwenu. Sisi tunaoamini kwenye mizimu na uafrika tunagonga fresh tuu na hakuna baya kutukuta. Huko firdausi kwenu mtajua wenyewe
Jamaa uzi ni wake ndiyo lakini ameukomalia balaa masharti kibao ya jinsi anavyotaka ajibiwe, mara thread closed, mara atukane watu ali mradi vurugu tupu. Anafikiri kuanzisha uzi ndiyo ana usemi wa mwisho kumbe ukishaweka kitu public unakuwa umefungua pandora box kwa mawazo ya kila aina πππTeh teh!Unajipangia ujibiwe vipi?Kula kitimoto upate akili wewe.Umezubaa sana kama mkebe.
Kabsahuyu mnyama ana maudhi kuanzia bandani hadi mezani
Unajua mimi naongea ili peace and love meen, sipendi ukose vitu vizuri.Nenda jukwaa la siasa Katoe malalamiko yako hapa tunamzungumzia nguruwe
Nmemtukana nani weka ushaid mtu alistarabika anakua na ushaid alopokiJamaa uzi ni wake ndiyo lakini ameukomalia balaa masharti kibao ya jinsi anavyotaka wajibu, mara thread closed, mara atukane watu Ali mradi vurugu tupu. Anafikiri kuanzisha uzi ndiyo ana usemi wa mwisho kumbe ukishaweka kitu public unakuwa umefungua pandora box kwa mawazo ya kila aina πππ
Sawa ni maoni piaUnajua mimi naongea ili peace and love meen, sipendi ukose vitu vizuri.
Hivi unajua kuwa ni sababu ya UKIMWI ulio nao (yaani Upungufu wa Kitimoto Mwilini ndiyo unapelekea unaandika nyuzi za ajabu ajabu?
Hebu jaribu kidogo, utanishukuru mwenyewe.
Dogo isije ikawa umekosa hela ya kununulia Kitimoto. Hebu agiza Kilo nitalipa.Nmemtuna nani weka ushaid mtu alistarabika anakua na ushaid alopoki
Bado anaendelea kuvunja ungo.Bado mdogo.Jamaa uzi ni wake ndiyo lakini ameukomalia balaa masharti kibao ya jinsi anavyotaka ajibiwe, mara thread closed, mara atukane watu ali mradi vurugu tupu. Anafikiri kuanzisha uzi ndiyo ana usemi wa mwisho kumbe ukishaweka kitu public unakuwa umefungua pandora box kwa mawazo ya kila aina πππ
Mm sna hela ya kulia nguruwe lakn nyama ya ng'ombe nmekula leo (simba)Dogo isije ikawa umekosa hela ya kununulia Kitimoto. Hebu agiza Kilo nitalipa.
kwa hiyo nguruwe akichinjwa kwa kumtaja Mungu anakuwa halali tu, au sio?Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.
Kula maamuzi ni yako, alisema msizin lakn najua hapo kuna jamaa anaomba gemu na wew huendi mpaka atume na yakutoleaYani ni heri kama umegundua hilo ili utupunguzie matumizi ya mywetu kwa sababu hawatutoshi jamani,ee nguruwe ni najisi usile tuachie sie wengine tuendelee kula kumfaidi mywetu kitimoto[emoji39][emoji1]