Nani kawaleta hawa Wavuta Bangi hapa Mlimani City kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

Tupia kapicha kamnato as ushahidi wa unachokisema au ni uzushi as usually
 
Wewe hauna maamuzi binafsi Ina maana kupiga kwako kura kunategemea hao vijana unaowaita wavuta bangi .

Naona mnatumia nguvu kubwa kushindana na wakati.
 
Lissu
 
Wamelipwa hela hao. Uchaguzi ni hela, bila kujali ni za wagombea hao au zimetoka CCM
 
Mlisema Lissu hana hela, sasa hao wahuni atawapa nin? Hao ni wahuni wa Mbowe mwenye hela za kugharamia uhuni huo. wanaimba lissu kwa makusudi tu
 
Tokea lini kunywa Pombe kumekuwa ni "uhuni"? tokea lini kupiga kampeni umekuwa ni "uhuni"? Tokea lini kusema LISSU HECHE kumekuwa ni uhuni?!

Uhuni ni kutoa RUSHWA kwa wajumbe ili Mwenyekiti aliyelambishwa asali ashinde kinyume na Sheria kwasababu RUSHWA ni jinai.
 
Wengi wanaimba Lissu Lissu itakuwa vijana wake hao na sare za CDM na kofia wote wamevaa
Huo ujinga unafanywa na tiss ili kuchafua haiba ya Lisu. Na ikionekana Mbowe anashindwa kwenye kura, hao wahuni watafanya fujo ili ionekane ni wafuasi wa Lisu. Upuuzi huo tunaufahamu sana.
 
Tuwekee picha tuwaone. Bila picha na wewe ni sawa na hao vijana.
 
Huna video tuone.
 
Propaganda ya kitoto. Toa uchawa wako hapa.
Lisu anahusika nini au ulimuona anagawa pombe
 
Dawa ya moto ni moto.

Na dawa ya wavuta bangi ni kuvuta bangi.
 
L

LISSU atashinda hata mfanye nini!
 
Kazi ya Mbowe hiyo kumchafua Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…