Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Kwa akili yako ndogo unaamini hao wameandaliwa na lisu?
Wengi wanaimba Lissu Lissu itakuwa vijana wake hao na sare za CDM na kofia wote wamevaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako ndogo unaamini hao wameandaliwa na lisu?
LissuKuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Wameandaliwa hao kwa kusudi maalumWewe umewasikia wanamtaja nani ?.
Wamelipwa hela hao. Uchaguzi ni hela, bila kujali ni za wagombea hao au zimetoka CCMKuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Hakuna aliyelalamika hapa zaidi ya kuelezea uhalisia..Sasa msilalamike mpigieni kura mgombea wenu.
Uhalisia usiombatana na ushahidi!!!???Hakuna aliyelalamika hapa zaidi ya kuelezea uhalisia..
Lema kawalipa kwa kazi maalumu.Wameandaliwa hao kwa kusudi maalum
Huo ujinga unafanywa na tiss ili kuchafua haiba ya Lisu. Na ikionekana Mbowe anashindwa kwenye kura, hao wahuni watafanya fujo ili ionekane ni wafuasi wa Lisu. Upuuzi huo tunaufahamu sana.Wengi wanaimba Lissu Lissu itakuwa vijana wake hao na sare za CDM na kofia wote wamevaa
Tuwekee picha tuwaone. Bila picha na wewe ni sawa na hao vijana.Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Huna video tuone.Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Propaganda ya kitoto. Toa uchawa wako hapa.Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
LISSU atashinda hata mfanye nini!Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Kazi ya Mbowe hiyo kumchafua LissuKuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.