Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

Jukumu la mwenye nyumba hiyo haina ubishi kama hataki unahama

hiyo ni bills kama ilivyo umeme na maji safi.

kama umeme ama maji safi bills mnalipa wapangaji. na maji taka pia mnapaswa mbebe gharama wapangaji

maana mwenye nyumba haishi hapo hivyo hajajaza choo yeye.
 
hiyo ni bills kama ilivyo umeme na maji safi.

kama umeme ama maji safi bills mnalipa wapangaji. na maji taka pia mnapaswa mbebe gharama wapangaji

maana mwenye nyumba haishi hapo hivyo hajajaza choo yeye.
Swala la choo kikijaa ni swala la mwenye nyumba huo ni ukarabati na matengenezo na si la wapangaji
 
Acha kujiliza mkuu...elfu kumi itoe tu mambo mengine yaende.

Kama unayo toa
Kama huna vunga.
Kama 10k nyingi ahame, aone gharama ya dalali na kuhamisha vitu kama atapewa na mwenye nyumba 🤣🤣
 
Hii inshu ni ya mwenye nyumba lkn Wana tutupia jumba bovu Kuta uchafu kwer
 
taa zikiungua ananunua nani? maji? umeme? taka? kama hivi vyote anafanya mwenye nyumba basi hata hilo afanye yeye
 
Pambaf 😅
 
Hivi wakati wa hayo mabishano mnakuwa mnakunya wapi
 
Repairs za nyumba ni jukumu la mwenyewe mwenye nyumba,

Na jukumu la usafi ni la wote kuanzia mwenyewe mwenye nyumba na wapangaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…