Mkuu piga kura na isimanie tu! Vinginevyo tulia!Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?
Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!
Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?
Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?
Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?
Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?
Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?
Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???
Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?
Ikiwa Ndugai akiwa Spika wa bunge, akishindwa kumpiga spidi governor, nani ataweza?
Karibuni🙏
Akina Mzee Nyerere wangekuwa na mtazamo kama Viongozi wa sasa, huenda tusingepata hata ardhi ya kujenga.Idara imejifia!!
Sasa polisi anaingia na bunduki ndani ya kituo Cha kupigia kura,Mkuu piga kura na isimanie tu! Vinginevyo tulia!
Tufunge Na Kuomba...Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?
Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!
Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?
Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?
Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?
Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?
Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?
Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???
Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?
Ikiwa Ndugai akiwa Spika wa bunge, akishindwa kumpiga spidi governor, nani ataweza?
Karibuni🙏
Nilikuwa kkoani fulani kikazi, wakati wa uongozi wa JK, baada ya kujadili njia tulizoona zinafaa kumzuia, hoja ya wajeda iliingia, kwamba hawa wanaaweza kufanya mabadiliko.Tungekuwa na Jeshi linalojitambua lingeikomboa nchi maana kwa mfumo haramu wa uchaguzi waliojiwekea sanduku la kura halina uwezo wa kuiponya nchi. Wajeda nao ndiyo hivyo makamanda wao ni makada watiifu wa hawa watesi wetu.
Ungana nasi, wenzio tulishaanza mapema.Tufunge Na Kuomba...
Kwanza Toka enzi za JK Hadi Sasa hivi wastani wa mikopo ambayo Serikali Inachukua Huwa inacheza kati ya Trilioni 8-12.Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?
Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!
Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?
Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?
Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?
Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?
Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?
Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???
Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?
Ikiwa Ndugai akiwa Spika wa bunge, akishindwa kumpiga spidi governor, nani ataweza?
Karibuni🙏
Mi naombea Mungu awapumzishe Baadhi ya viongozi, nyie Wenzangu mwamba Nini Mkuu😅Ungana nasi, wenzio tulishaanza mapema.
Maombi ni Siri😀😀Mi naombea Mungu awapumzishe Baadhi ya viongozi, nyie Wenzangu mwamba Nini Mkuu😅
Vipesa kiduchu? Unaijua Trilioni 2 au 1 ama unaropoka tuu hapa?Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?
Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa ajili ya kumalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magu lakini tunahitaji kufanya Utafiti mikopo iliyokopwa tulinganishe na KAZI mikopo hiyo imefanya tupate balance!
Ikiwa tunakopa na wizi unafanyika, pesa zinaibwa na hazitimizi kusudi Kisha tunarudi tena kukopa, hii Hali ni Hadi lini?
Nani wa kumfunga kiongozi wetu Speed Governor kuhusu mikopo?
Iweje Nchi ikope vijipesa kiduchu vya mboga Kwa kubadilishana na Raslimali zenye thamani mara elfu zaidi ya mikopo hiyo?
Ikiwa Bunge limeshindwa kumdhibiti Kiongozi wetu kutukopea bila kutuuliza, ni nani atazuia au kumshauri vizuri kuhusu mikopo yenye TIJA?
Hivi Trillion 2 ni pesa ya Kugawa migodi yetu?
Trillion Moja ni pesa ya kuwapa wageni kufanya UVUVI deep sea? Kwanini tusiwadhamini wavuvi kupitia kampuni za wazawa wanunue Meli kubwa kufanya UVUVI huko deep sea tuexport nje Samaki🤔???
Swali: Njia Gani wananchi tuzitumie kumzuia kiongozi wetu kukopa pesa kiduchu Kwa Kugawa Ardhi, misitu, Bandari na Bahari, raslimali ambazo ni thamani yake ni kubwa kuliko vipesa anavyokopa Kisha vinaishia kuibwa?
Ikiwa Ndugai akiwa Spika wa bunge, akishindwa kumpiga spidi governor, nani ataweza?
Karibuni🙏
Jambo gani?Ndugai na madhaifu yake yote!! Aliliona jambo hili mapema sana. Na mwisho wa siku akaishia tu kuchambwa hadharani, na kuvuliwa haraka nafasi yake ya uspika.
Ingeanza kupigwa Mnada USA ambao inadaiwa pesa mara 3 ya uwezo wa Uchumi wake.Kama kupigwa mnada Afrika nzima ingeshapigwa mnada miaka mingi iliyopita. Viongozi wetu wakijifungia ndani huwa mnakuja na maandiko yanayowakejeli pia.
Nilimaanisha 2014.Marehemu yupi huyo 2024?
Raia wemyewe ambao kazi yao kuimba kainama ainamaNani amfunge governor kama raia mmekaa kimya.
Yeye si ndiye aliyekwenda China kubembeleza ule mkataba wa bandari ya Bagamoyo, au nimekosea? Maana niliona akipokelewa kiheshimiwa kule China wakati ule alipokuwa Spika. Baada ya Magu kufa na kuona hana chake ndiyo alianza kupiga kelele - unafiki ulioje!Ndugai na madhaifu yake yote!! Aliliona jambo hili mapema sana. Na mwisho wa siku akaishia tu kuchambwa hadharani, na kuvuliwa haraka nafasi yake ya uspika.
NEC na CC yote ya CCM na familia zao wafe kwa usiku mmojaMi naombea Mungu awapumzishe Baadhi ya viongozi, nyie Wenzangu mwamba Nini Mkuu😅
Tofauti ya maden ya USA na yetu, USA halipi kwa mtu hayo madeni yeye anaprint pesa zake anajikopesha usije kudhan anaenda kukopa kwa mtu ndio maana USA haidaiwi na mtu yeyeyote na haitalipa hayo madeni kwa mtu wala sehemu yeyoteIngeanza kupigwa Mnada USA ambao inadaiwa pesa mara 3 ya uwezo wa Uchumi wake.
Acheni ujinga,usifananaishe mikopo Nchi na kausha damu zenu ,hamjui kitu kuhusu Debt Management
Ndio maana nakwambia wewe ni mbumbumbu na mjinga,ingekuwa ni ku print tuu angeorint na angakuwa hana hata deni Moja.Tofauti ya maden ya USA na yetu, USA halipi kwa mtu hayo madeni yeye anaprint pesa zake anajikopesha usije kudhan anaenda kukopa kwa mtu
Sawa mkuu nitajie hizo hela inadaiwa na nan hiyo USA. ukishindwa basi wewe ndio mbumbumbuNdio maana nakwambia wewe ni mbumbumbu na mjinga,ingekuwa ni ku print tuu angeorint na angakuwa hana hata deni Moja.
Pili hata pesa za Miradi Serikali ingeprint afu iwaletee.
Nyie mbumbumbu wa Uchumi,hayo mambo hamyajui so kausheni hizo ni taaluma za wana uchumi kama Mimi.
Aje hapa economist ndio tujadilo sio mbulula wengine
Wa kwanza anaemdai ni China ,pili IMF,WB na 3 ni Mabenki na masoko makubwa ya Kimataifa Yaliyopo kule kule kwao na Nje ya Nchi.Sawa mkuu nitajie hizo hela inadaiwa na nan hiyo USA. ukishindwa basi wewe ndio mbumbumbu