Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

Wengi wao ni wale walio kimbia biashara ya tomato
Na watakuwa wenyeji wa mikoa ya SHINYANGA, BARIADI na MWANZA, na wamiliki wa VYAMA VYA USHIRIKA
Tunaambiwa hata zile timu za mpira wa miguu za KAIZER CHIEFS pamoja na ORLANDO PIRATES zimegawanyika katika matabaka ~ KAIZER CHIEFS wanamichezo wote weusi ni WATANZANIA wenye asili ya KIJIJI CHA NINDO na ORLANDO PIRATES wanamichezo wote weusi ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.
cc Charles Mandela

 
Wewe kuna watu umeamua kuwa na ugomvi nao personal sio 😄😄😄😄😄🙌🙌🙌
 
Wewe kweli makebo kwahiyo kuwa Dar ndo unajiona mjanja sana
 
Mbona mnaweweseka?
Aliyekwambia kuwa jf ni ya tecdema au chadomoghasia ni nani?

Kaa kwa kutulia mwengeseko wewe, aliyekwambia kuwa ili uonekane una akili jf lazma utukane serikali ni nani huyo?

"Mkitoa mguu tunaweka hadi nyayo zenu zifutike nyumbu nyie"
 
Kuna ID's 6 zimeingia humu ila zinatumiwa na mwenyeji mmoja mwenye ID inayoanza na T nakuishia Y
Bado nipo kwenye uchunguzi,matokeo kamili yapo njiani yanakuja pindi uchunguzi ukikamilika.
Fanya haraka tupate feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…