Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

Kabisa na ni wengi uwa nawasikia ila si ile kazi unapata videal flani vya upigaji wakati kazi hajapata bado
Mazingira ya nchi yetu ndivyo yalivyo mkuu ukiwa mzalendo watoto wako hawatapanda school bus
 
Kwanza acha mawazo ya kupiga kuwa Mzalendo na mwaminifu
Mwenye degree salary laki 7, mbunge ambae qualification yake kujua kusoma na kuandika salary milioni 11.
Hapo kuna uzalendo?
 
IPI kati ya hizo fani mbili naweza kula vizuri?
Hayo mengine ya jela niachie nipambane nayo.
 
Unanishauri niingie kwenye siasa?
 
Si ulisema halali au sio halali au?
Mfano kununua nguzo ya umeme bei ya serikali laki 1. Mimi nikitafuta mtu akaniuzia elfu 40 hapo nimebakiwa na elfu 60.
Huo sio wizi bali ni ujanja tu.
 
Mkuu umeongea kwa hisia sana. Japo unachenga kuniambia wewe ni mzaliwa wa mkoa gani.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mo dewj au bakhresa anafanya kazi gani kati ya hizo? Kama hakuna Kati ya hizo bas bado una safari ndefu ya kupiga pesa

Alafu utakuja kufungwa upotelee mbali we endelea tu kuleta uzi huku umevaa earphones na malapa meupe na soks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mama wa Biharusi tumempa jukumu la Kamati ya Maandalizi ya harusi ya binti yale kwenda kutafuta Kuku wa shughuli ya Mwanae kenda kutuletea Vikuku kama njiwa halafu bei ya Juu tukajua kapigwa kwa ule utuu uzima wake …kufuatilia kumbe kacheza dili na Muuzaji wapate kama elf 5 kwa kila vikuku vile vya sijui wiki nne tu


Unapambana kujibana ujenge kijumba chako pekee kwny uhai wako unamshirikisha Mkeo wa maisha lakin cha ajabu huyo huyo anashirikiana na mafundi kuiba
Watanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.
Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
 
Semester ilopita umevuka salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…