Nani yuko nyuma ya Nape? Mbona ana dharau kiasi hiki?

Wewe ni mjinga? Sasa kama ni mjinga kweli ukiambiwa ni mjinga kwanini iwe ni dharau?
 
Wewe ni mjinga? Sasa kama ni mjinga kweli ukiambiwa ni mjinga kwanini iwe ni dharau?
Mtumishi wa Umma anatakiwa watu wote asiwabagaze. Sasa hapo kumwambia mjinga siku nyingine atakuja kwako kupata Huduma? Ama ndio itakuwa mwendelezo wa kubagazana tu.
 
Ukitaka kumuelewa mtu fuatilia maisha yake na familia yake. Kazi kwako
 
Kiongozi wa aina gani ??
 
Wachawi ni watu wenye roho mbaya sana ndo maana, kwa kiasikikubwa, maisha yao yanakuwa ya mateso tu siku zote!
Kuna wasiokuwa wachawi, wao wakawa ni majambazi wa kunyang'anya na kutoa roho za watu. Unadhani watu hawa wana maisha ya furaha maishani mwao?
 
Kuna wasiokuwa wachawi, wao wakawa ni majambazi wa kunyang'anya na kutoa roho za watu. Unadhani watu hawa wana maisha ya furaha maishani mwao?
Ila uchawi wa kumsingizia na kumchukia mtu bila sababu huku unayemchukia anazidi kuendewa sawa tu mambo yake ni uchawi unaotesa sana nafsi za wachawi wenyewe!
 
Ila uchawi wa kumsingizia na kumchukia mtu bila sababu huku unayemchukia anazidi kuendewa sawa tu mambo yake ni uchawi unaotesa sana nafsi za wachawi wenyewe!
"Mambo yanamwendea sawa tu", inaonyesha uko dunia nyingine ambako "ujambazi na unyang'anyi" kwenu ni sawa tu.
 
kuna vijana wa viongozi wa taifa hili wastaafu na walioko madarakani wanaamini nchi hii wana hati miliki
"TIME WILL TELL"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…