Kupumbavu mtupu! Waambie watafanya mazoezi weeee! Hatimaye watakufa na kutongozwa na shetani.Wanawake bhana,yaani mtu anahamasishwa afanye mazoezi ili atongozwe na rika zote!😁
Halafu awe anawapa/anawauzia au namna gani?
Hahaha 😁 pole...Hahaha umeniwahii pia! Nakumiss mamtu😍
Nasemea hizi za kutongozwa na vitoto inanikera sana! Mizee nayo si haba nilikutana na zee 60+ kabisa huyu linaomba no🫢🙄
Mimi nmeongezeka aisee hizi vacation tunaendaje sasa mwili ka toto tembo🤣
Kufunga madonda yataniua! Bora wewe aisee..Hahaha 😁 pole...
Mi jimepungua kidogo ninekua na kg nazozitaka...
Kupungua sio kazi
Jiwekee ratiba kuomba plus fasting ht kwa wiki 2 days..utakua na mwili standard ...
Utaenda hivyohivyo huko vocation
Achana na diet jitahidi unapoweza eat healthyKufunga madonda yataniua! Bora wewe aisee..
Mimi diet itanihusumaana mazoezi yenyewe mara moja kwa mwezi😅
Ohh sawa mamii, ngoja nijaribu kama nitaweza☺️Achana na diet jitahidi unapoweza eat healthy
Ulcers mbona ukifunga hazisumbui
Cha mhimu ukiwa hivyo kunywa maji...
ila wewe mgeni wa jiji aiseeKumbe wewe ndiye masai dada. Nyambafu!
alafu sio kwamba wanakutaka hawana elaDuh hii ni changamoto sn
Unamwambia kijana ningewahi ningekuzaa, haelewi😄😄gen z ni tatizo
Njoo kwa mibaba ya 60 ss🙌🙌😁😁
Mambo ya kafara yashakua mengi acha tutulie tu..
Anyway; mazoezi nitafanya kwa faida yangu niwe na afya
Kwa kweli I'd na avatar yake vimekaa kidumeKumbe weweni Ke?
Kwa nini?ila wewe mgeni wa jiji aisee
😂😂😂alafu sio kwamba wanakutaka hawana ela
vingine vina biashara zao kubwa tu...
ki ukweli
duh....mi nishastaajabu mara nyingi
Mkipata wengi mnipasie namie nyieee mi mbona sitongozwi dahh!Hahaha umeniwahii pia! Nakumiss mamtu😍
Nasemea hizi za kutongozwa na vitoto inanikera sana! Mizee nayo si haba nilikutana na zee 60+ kabisa huyu linaomba no🫢🙄
Mimi nmeongezeka aisee hizi vacation tunaendaje sasa mwili ka toto tembo🤣
Sio lazima utoke! Ukiweka picha mtandaoni utaona watu wanavyogongana.Weee nipe siri !!! Kumbe nisijifungie nitoketoke huenda ntapata yoyote mtu??
Sante sana kwa mwongozo!!
Mi sipendi walimu😏😏🐒
Kitambo kidogo, ila vitoto mwanetu! Hapana aisee🫢