Kumbe na funza huwa wanasikia ukakasi😂Nilishawahi kuona funza kwenye embe, nikamuona tena kwenye papai, lakini sijawahi muona kwenye limao.
Wakati mwingine kuwa mtamu sana ndiko kunakufanya uliwe.
Kwahiyo kutongozwa hovyohovyo ni sifa? Kwanza mpaka mtu kakufuata mara nyingi kakudharau, wachache sana wanamaanisha! We mtoto mdogo ukatongoze mtu mzima unatafuta nini? Ni huna heshima wewe!Hapo hapo wasio tongozwa wanalia kua hawaonekani, nyie mnaotongozwa leo inaboa asee
Yani mpaka jua linazama hakuna kuongeleshana! Ndio raha yetu wanawake🤣
Kwan shingape?🙄Kwahiyo kutongozwa hovyohovyo ni sifa? Kwanza mpaka mtu kakufuata mara nyingi kakudharau, wachache sana wanamaanisha! We mtoto mdogo ukatongoze mtu mzima unatafuta nini? Ni huna heshima wewe!
Uko sahihi kuna mtu alinibishiq humu ikabidi nimuache tuUkifika umri kati ya miaka 37 hapo hadi 42 na bado umejitunza vizuri unavutia utatongozwa sana na kila rika
Hamna adabu nyie madogo!Kwan shingape?🙄
Mwanamke anaovo jiweka ndivyo tunavyo m-interprete , ukiwa na standards utafwatwa na wenye standard pia .Kwahiyo kutongozwa hovyohovyo ni sifa? Kwanza mpaka mtu kakufuata mara nyingi kakudharau, wachache sana wanamaanisha! We mtoto mdogo ukatongoze mtu mzima unatafuta nini? Ni huna heshima wewe!
😂😂😂😂Vi Ben10 vitakulilia njaa tu tupa kuleeee🚮!
Wababa/ wakaka matured enough ndo wenyewe!!
Smart911 asiione hii
😂😂😂😂😅😅😅😂😂😂😂😂😂Mwendo wa kujipakulia minyama tuu, yaani huduma ni self service .
Aibu utaona wewe mwaego "wenyewe wanasema
Wewe tenaAkitulia unamvuruga
Akivurugwa unamtuliza😎
Ni humu tu👌🏽
Funguka mamchu usijibane !😂😂😂😂
Acha nikae kimya tu
I think au basi
Kulikoni
TayKulikoni
Unashindwa kutamka jina😂😂
PoleTay
Nimepata na kigugumizi Yana
Usichoke dada nani atasuluhisha😁Wewe tena
Ktk ubora wako....nachoka dada alo mie
Acha hizo wewe, ile kitu haina utoto wala utu uzima.Kwahiyo kutongozwa hovyohovyo ni sifa? Kwanza mpaka mtu kakufuata mara nyingi kakudharau, wachache sana wanamaanisha! We mtoto mdogo ukatongoze mtu mzima unatafuta nini? Ni huna heshima wewe!
😂😂😂