Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Serikali tatu utazugharamia wewe?..muundo wa sasa wa muungano umekwaza wapi maisha yako ya kila siku?
Tanganyika haipo,muambiwe mara ngapi?Na
UISLAMU NI DINI YA HAKI.
Ninaomba hio haki tuilete hapa katika hii hoja.
Kama ambavyo ZANZIBAR ni nchi na ina rais wake na Tanganyika ipate rais wake ambaye mzazibari hataruhusiwa kugombea nafasi hio.
Then TUBAKI NA MUUNGANO, TANZANIA
Halafu muwalilie wazunguMwisho wa matusi yenu ni sabasaba
Unazungumzia makadirio wakati sensa ya 1958 ilisema waislam ni 66% na wakristo ndiyo walikua wachache wakizidiwa na waabudu dini za jadi
Kwenye andiko langu nimesema ukristo ulianza hubiriwa late 1800s na kwamba early 1900s walikua hawafik 20k,naona umeniunga mkono
Maana hata Nyerere alibatizwa sekondari baada ya kumsoma Julius Caesar na kuvutiwa nae akachukua hadi jina,sasa Nyerere alikua sekondari lini?
SISI WATANGANYIKA HATUTAKI MUUNGANO
Hakuna wa kuvunja Muungano CCM, wanajuana balaa. Hii ni kuwatoa kqenye reli vinega wa mauwaji ya october 25
Nikumbushe, Deutsch ostafrika haikuhusisha kenya na Uganda ukiachilia mbali Rwanda na Burundi?Mkwawa alikuwa mtawala wa wahehe huko. Taifa la wahehe na mataifa mengine kama Wanyamwezi, wasukuma, wayao n.k yalikuwepo.
Hapakuwa na taifa ka Tanganyika.
Mjerumani alipofika ndiye akaketa. Dhana ya hayo mataifa ni makabila ilhali yalikuwa mataifa.
Akayaunganisha, akachora mipaka huku Mkutano wa Berlin ambao kimsingi ulihuzuriwa na mataifa ya ulaya ya kikristo yakihusika kuunda mataifa mengi unayoyaona hivi leo ya Afrika. Ikiwemo Tanganyika.
Walioasisi na kuunda Tanganyika ni wakristo wa Kijerumani. Elewa historia vizuri
π€£π€£π€£πππWalioasisi na kuunda Tanganyika ni wakristo wa Kijerumani. Elewa historia vizuri
Utakuaje rais wa nchi ambayo wewe siyo raia, unataka kuwa mkoloni?Nina taka kuwa rais wa Zanzibar
Ninataka kumiliki ardhi Zanzibar
hayo ndio malengo yangu so muundo wa muungano umekuwa kikwazo kwangu.
Yes hii ni point niliyokuwa naitaka.Utakuaje rais wa nchi ambayo wewe siyo raia, unataka kuwa mkoloni?
Mkwawa alikuwa mtawala wa wahehe huko. Taifa la wahehe na mataifa mengine kama Wanyamwezi, wasukuma, wayao n.k yalikuwepo.
Hapakuwa na taifa ka Tanganyika.
Mjerumani alipofika ndiye akaketa. Dhana ya hayo mataifa ni makabila ilhali yalikuwa mataifa.
Akayaunganisha, akachora mipaka huku Mkutano wa Berlin ambao kimsingi ulihuzuriwa na mataifa ya ulaya ya kikristo yakihusika kuunda mataifa mengi unayoyaona hivi leo ya Afrika. Ikiwemo Tanganyika.
π€£π€£π€£πππ
Nikumbushe, Deutsch ostafrika haikuhusisha kenya na Uganda ukiachilia mbali Rwanda na Burundi?
Sikumbuki nani aliyeiita Tanganyika Tanganyika,lakini yeyote awae,alipata Hilo jina kwa 'watanganyika' wenyewe
Yes hii ni point niliyokuwa naitaka.
Ili kuwe na usawa inatakiwa neno ZANZIBAR IFUTWE kama ilivyofutwa TANGANYIKA na tubaki na neno TANZANIA ili tu share mambo kwa haki na usawa. Unaonaje?
Kwani yule aliyeivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu na kuiweka nchi yetu mateka wa Tanganyika alikuwa na roho gani ?? aliogopa damu ya mtu ??Tumetofautiana sana kwenye upeo(IQ) kwa mtu anayefikiria sawa sawa na kwa kina, hawezi kushindwa kuona chuki ya Samia juu ya Tanganyika, hajali chochote, ana kiburi cha hali ya juu sana.
Ni kama ana option B na C endapo chochote kitatokea.. nasikitika kuona vyombo vya usalama vinamuangalia tu.
Akimaliza mda wake ataiacha nchi kwenye makovu makubwa sana, huyu mtu sijui ana roho gani? Haogopi damu ya mtu.
Sensa ya 1958 ilipelekwa umoja wa mataifa,ijahifadhiwaKuna mambo mawili tofauti hapa ambayo yanahitaji kutenganishwa.
Kwanza, ni kweli kwamba Ukristo ulianza kuenea kwa nguvu Tanganyika mwishoni mwa karne ya 19 kupitia wamisionari. Pia ni kweli kwamba mwanzoni mwa miaka ya 1900 Wakristo walikuwa wachache ukilinganisha na idadi ya watu wote wa Tanganyika.
Lakini suala la sensa ya 1958 linahitaji ushahidi rasmi. Watu wengi hutaja takwimu za 66% Waislamu, lakini mara nyingi hawatoi ripoti rasmi ya sensa yenyewe. Wanahistoria wengi wanakubaliana kwamba kabla ya uhuru kulikuwa na idadi kubwa ya watu waliokuwa bado wanafuata dini za jadi za Kiafrika, na ndiyo sababu takwimu hutofautiana sana kati ya vyanzo.
Alichagua jina Julius baada ya kuvutiwa na Julius Caesar baada ya kusoma kitabu cha 'merchants of Venice' ambacho baadae alikitafsiri kama 'mabepari wa Venice',acha ubishi wa kijinga jingaPili, kuhusu Nyerere, ni sahihi kwamba alibatizwa akiwa kijana na akachukua jina "Julius". Lakini si sahihi kusema alibatizwa sekondari baada ya kusoma Julius Caesar.
Julius Nyerere alibatizwa katika Kanisa Katoliki tarehe 23 Desemba 1943 akiwa mwanafunzi wa Tabora Government School. Alikuwa na umri wa miaka takriban 21. Jina "Julius" alipewa wakati wa ubatizo kama ilivyokuwa kawaida kwa waongofu wengi wa Kikristo wakati huo.
Hakuna ushahidi wa kihistoria unaokubalika unaoonyesha kwamba alichagua jina Julius kwa sababu ya kusoma Julius Caesar. Hilo limekuwa simulizi linalosambazwa mara kwa mara lakini wanahistoria wengi hawajalithibitisha kwa nyaraka za kuaminika.
Mbona una op sana kijana,hii ni irrelevantKwa hiyo, kama hoja ni kwamba Ukristo ulikuwa umeenea kwa kiasi kikubwa Tanganyika kabla ya uhuru, hilo linaweza kujadiliwa kwa takwimu. Lakini kutumia hadithi ya Julius Caesar kuthibitisha hilo si ushahidi wa kihistoria
Hili ndiyo nimesema.
Ukweli ni kwamba kabla ya ukoloni hakukuwa na jamii kubwa za Kikristo Tanganyika, na ukuaji mkubwa wa Ukristo ulitokea katika kipindi cha wamisionari wa Kijerumani na Waingereza. Hilo ni jambo ambalo wanahistoria wengi wanalikubali.