Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Weewe nani kapigwa risasi nyingi hapa Tanganyika mpk leo hii mwilini?
Ingawa Lissu ana upuuzi wake, ila usimfananishe na hizo taka pleaseTumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
Nani zaidi kisiasa kati ya Samia Suluhu na Asha Baraka?Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
Sijaona cha kulinganisha hapo ,magufuli kawa waziri ,halafu kawa raisi wa nchi , lissu raisi wa TLS na mbunge tu wakawaida .hivyo kiuongozi na kimamlaka kuwaweka meza moja ya kiulinganisha haipo feaKwan 2015 JPM aliongoza nchi gn
hata hapo utakuwa hujamtendea haki lissu mkuu, huyo mama anatakiwa ashindanishwe na pepo kutoka kuzimu,Acha kuficha kichwa kwenye uvungu wa kitanda. Utaonekana tu.
Weka hapa tupige kura kati ya Tundu Lissu vs samia suluhu Hassan ili tuone mshindi atakua nani.
Yule alikuwa na uongozi gani zaidi ya kujenga madaraja?Kwenye uongozi
Visungura vinawatesa Sana.Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
Ndo uongozi wnyw huo.Yule alikuwa na uongozi gani zaidi ya kujenga madaraja?
Kwan Kiongozi n nani, kwamba mtu mpaka uumpe cheo ndo ujue n kiongozi bora?Sijaona cha kulinganisha hapo ,magufuli kawa waziri ,halafu kawa raisi wa nchi , lissu raisi wa TLS na mbunge tu wakawaida .hivyo kiuongozi na kimamlaka kuwaweka meza moja ya kiulinganisha haipo fea
Sawa magufuli kamzidi lissu.Kwan Kiongozi n nani, kwamba mtu mpaka uumpe cheo ndo ujue n kiongozi bora?
sijui ni nani, lakini hao wote wanamzidi sana kwa mbali muuaji wa kizimkazi.Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
Umetumwa na Samia Kitambi kuja kuleta taharuki hapa?Rudi huko huko kamwambie umeshindwa fala wewe.Kabishane na Samia tumbo au Abdul, au Makonda, na wale wengine wasiojua ustaarabu ni nini.Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
Mkuu unakosea sana kuandika gazeti lote hili ili kujenga hoja ya ulinganifu kati ya Abdul NONDO na kiongozi msomi wa kisiasa Tanzania na pengine duniani Tundu A. Kwa nchi hii na Afrika kwa ujumla tofauti na viongozi waliokufa kiongozi pekee aliyepo hai wa kumlinganisha na lisu hayupo labda kwa upande wa dunia ni mwanamama Aung San Suu Kyi wa MynmarAbdul Nondo namkumbuka wakati akisoma political science pale mlimani akiwa na urafiki wa karibu na Emijidius Cornel kjana aliyekuwa anachukua shahada ya ualimu pale chuo kishiriki cha elimu cha Dar es salaam (DUCE )ila akiwa mwanaharakati wa kutetea haki za walimu wanaojitolea pamoja na mambo ya kijamii chuoni pale .
Nimeitoa historia kidogo kuhusu hawa vijana wawili sababu nilipata kuwajua wakati huo na ni wakati huo ndiyo nikamjua kiasi chake Abdul Nondo alikuwa kijana mwenye kuijua haki yake na kuiijua sheria kwa kina ,alismama kidete kumtetea EMIJIDIUS COENEL pale alipopelekwa wodi ya vichaa Muhimbili kwa kudai ana shida ya afya ya akili na chuo chake cha DUCE (DAR ES SALAAM UNIVERSTIY COLLEGE OF EDUCATION)
Japo zilikuwa hujuma juu ya harakati zake za kutetea haki za wanafunzi kwa baadhi ya mambo haswa ucheleweshaji wa boom ,kufelishwa na kutafuta walau supporting power kwa walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali katika wilaya ya TEMEKE haswa WAILES ,MIBURANI NA KEKO SECONDARIES .
Ni katika hayo machache niliouona mchango wa Abdul na pale waliposhirikiana na Emijidius kuwaleta viongozi wa kitaifa hasa wa chama cha mapinduzi katika hafla na utiaji moyo kwa wale walimu wanafunzi walikokuwa wanajitoleq katika shule mbalimbali ,mfano wa kiongozi aliyeawahi kuletwa kwa mialiko yao ni pamoja na KINANA ,HAMPHREY POLEPOLE lakini pia mbunge mstaafu wa jimbo la TEMEKE .
Ni katika hayo naweza kusema nimemuona NONDO alifanya nini kiasi cha kuweza kusema ni machache mno kulinganisha na mheshimiwa Tundu antipas Lissu sababu ya umri wake katika harakati ni mkubwa kiasi cha kuona kuwa kuwalinganisha ni kumkosea heshima mheshimiwa Antipus Lissu .
Hivyo itoshe kusema Tundu bado yuko juu kwa mengi zaidi japo kwasasa yupo nyuma ya nondo hivyo Abdul anaweza kuwa na nafasi ya kufanya mambo makubwa labda yanayoweza kumuweka juu ya Lissu wakati huu ambao hayupo .
Ahsante
Jibu la Mauaji ya Kimbari ya Waislamu na wakimbizi wa RohingyaMkuu unakosea sana kuandika gazeti lote hili ili kujenga hoja ya ulinganifu kati ya Abdul NONDO na kiongozi msomi wa kisiasa Tanzania na pengine duniani Tundu A. Kwa nchi hii na Afrika kwa ujumla tofauti na viongozi waliokufa kiongozi pekee aliyepo hai wa kumlinganisha na lisu hayupo labda kwa upande wa dunia ni mwanamama Aung San Suu Kyi wa Mynmar