Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.