Kwahiyo unakubali Chadema ni tawi la CCMMkuu sipendi sana kujibia hoja zako maana na mimi ninakua zuzu kama wewe, Mr.Lowasa kuingia upinzani ameweka facts zifuatazo:ndiye mgombea wa upinzani aliyeshinda kura nyingi kuliko wagombea waliosimama kwa oppositions slate;kuwepo kwa Mr.Lowasa upinzani ndio uchaguzi uliotoa wabunge wengi wa upinzani kuliko chaguzi zote za vyama vingi;kuwepo kwa Mr.Lowasa upinzani ndiko kulikofanya tiss ipoteze kabisa utendaji kazi wake,ndio maana leo ni tawi la uvccm pale lumumba, hawalindi nchi tena.
RightNami nimeogopa ulivyosema "kuna siku" wakati tayari walishamchagua Magufuli na leo Sa100 anafanya anavyotaka wako hepi tu
2015 na 2021 alikuwa bado mtotoWatuchagulie raisi mara ngapi??
Mbona wamekwisha tuchagulia sana tu.
Mbona ni kama walishatuchagulia , sema labda wasije wakatuchagulia tenaUjinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.
View attachment 2333332
Lete connection🤣🤣Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Tunataka mwenye akili hatutaki Dikiteta na fisadiTatizo ni kwamba hata tukichaguliwa mwenye akili, kwa kuwa wajinga ni wengi bado huyo mwenye akili atapingwa na kuonekana katili, muuaji, dikteta nk!
Mwenye akili kuwa katikati ya wajinga wengi kunahitaji ustahimilivu na hekima ya hali ya juu maana hawakawii kukuona wee ndio mjinga.
Kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, ni uonevu!
Inaelekea hii thread imekuumiza sana kichwa ...... Lumumba rudini kujipanga upya. Ukweli ndiyo huyo kuwa Wapumbvu wanazidi kungezeka Tanzania.Wajinga ni nyie mliyemshangilia Lowasa 2015 na kumtenga Dr Slaa
Kisha mkamchagua Cecil Mwambe na Dr Mollel kuwa wabunge
inashangaza kabisa,hata baada ya kuonyesha udhaifu awamu ya kwanza bado wakaendelea naye awamu ya piliAisee wajinga ni wengi sana, yaani mpaka Jiwe akawa Rais!!! Dah hatari sana
Misingi ilikwisha vunjwa huko nyumaUjinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.
View attachment 2333332
NB: Dictatorship is among of the leading strategies hasa pale unapoongoza watu wasiotaka kuelewa.Tunataka mwenye akili hatutaki Dikiteta na fisadi
Uko sahihi mkuu asilimia 80 wabongo karibu wote ni uoga,uzuzu na upumbavu umewajaa I hate shwainiUjinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.
View attachment 2333332
Kama chawa waambie wabunge wako na madiwani waitishe mikutano ya hadhara MAJIMBONI .....Ni mjinga tu anayeamini kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Katibu mkuu ni wapinzani by Halima Mdee