johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mikutano hadi 2030Kama chawa waambie wabunge wako na madiwani waitishe mikutano ya hadhara MAJIMBONI .....
Makamba jr (CCM) vs Halima Mdee ( Chadema)
Mikutano hadi 2030Kama chawa waambie wabunge wako na madiwani waitishe mikutano ya hadhara MAJIMBONI .....
Nchi hii rais hatochaguliwa na watu Wala haijawahi tokeaNami nimeogopa ulivyosema "kuna siku" wakati tayari walishamchagua Magufuli na leo Sa100 anafanya anavyotaka wako hepi tu
Hawa wanabebwa na uchawa.Ma-DC kama Mchopanga na Nikki🤣🤣🤣.
Jiwe alikuwa anashangiliwa na mazuzu tu,wenye akili walimpinga adharani,Nami nimeogopa ulivyosema "kuna siku" wakati tayari walishamchagua Magufuli na leo Sa100 anafanya anavyotaka wako hepi tu
Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii
Ufipa st inahusika Hapa!
Ndio waliotuchagulia maraHisi wote tangu Nyelele mpaka saa100.Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.
View attachment 2333332
Kwa hiyo viongozi mazumbukuku wanao ongoza Tanzania kwa sasa ni wa kutokea Ufipa?Ufipa st inahusika Hapa!
Hiyo demokrasia inayosema hata wapumbavu wapewe kwa vile wapo wengi ni democrazy.Demokaria inasema wengi wape.
Na ndio ikawa sababu ya yeye kurudi ccm?akili za kipumbavu sana hizi pamoja na huyo lowasa wate wako huko huko upumbavuni.Wajinga ni nyie mliyemshangilia Lowasa 2015 na kumtenga Dr Slaa
Kisha mkamchagua Cecil Mwambe na Dr Mollel kuwa wabunge
Wengi wapewe.Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.
View attachment 2333332
Nimependa jina ulilowapachika. Kwamba ni VITU maalum na siyo VITI mawlum.Hawa Vitu maalumu, KUNDI Moja la Viazi Ulaya ambalo linatakiwa liondolewe Mara Moja !!
Yaani wamechoka hatariDaah aisee Wananchi mmechoka ni vile hakuna namna..
Nchi hii mtu akiwa Upinzani basi ndio huonekana ana akili na kinyume chake ni wapumbavu. Hahahahahaha dah maajabu haya.
- Tayari yatuchagulia Raisi
- Maeneo yanayoongoza kwa wapumbavu ni Dar, Mwanza, kanda ya Kati, na kanda ya kusini mashariki
Sio kila mwenye mawazo mbadala ni mpinzaniNchi hii mtu akiwa Upinzani basi ndio huonekana ana akili na kinyume chake ni wapumbavu. Hahahahahaha dah maajabu haya.
Huyo atakuwa na uzuzu uliokomaa yaani uzumbukuku.Sio kila mwenye mawazo mbadala ni mpinzani
Umeprove uzuzu unaoongelewa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app