Naogopa sana jinsi wapumbavu walivyo wengi. Kuna siku watatuchagulia Rais

Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.

Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.

Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.

Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.

Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.

Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.

View attachment 2333332
Eee bhana eeee
 
Mbna tayari wapo na wanashangilia kila kitu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila mwenye mawazo mbadala ni mpinzani

Umeprove uzuzu unaoongelewa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mzee wewe ndio huna akili, yaan tegemeo la nchi yako KIUCHUMI, SIASA na kila kitu useme ndio wasiona na akili?? (Mazuzu) Nchi hii ukitoa hiyo mikoa kinabakia nini?? Kuna maeneo yaliyojaa wapumbavu nchi kushinda KASKAZINI na NYANDA ZA JUU KUSINI + MAGHARIBI YA TANZANIA YETU???
 
Hivi wakuu to be honest,yule Katibu Mkuu Kiongozi Kattanga mimi personally namuona uwezo wake ni mdogo sana ukilinganisha na akina Ombeno Sefue,Marten Lumbanga nk.Teuzi zake nyingi za kisanii sana,rejea DG wa TPDC na yule Form four failure aliyemteua kuwa RC au RAS na baadaye kutenguliwa.Ma-DC kama Mchopanga na Nikki🤣🤣🤣. Tanzania Mungu atusaidie.
Awamu ijayo tarajia kumuona Mwijaku akiwa DC!
Tatizo lako ni kwa sababu Katanga hapendi media. Yeye ni Mtu wa kazi tu.
 
Na Mbowe alichaguliwa Chadema anakomba asali tu
IDIOT!
JF ungekuwa unaitumia vizuri ungeshakuwa umeelimika sana kwa sababu most of your time umo humu, the home of great thinkers. Lakini kwa vile hujitambui unaandika ya hovyo bila aibu.
 
Back
Top Bottom