Na Mbowe alichaguliwa Chadema anakomba asali tuNami nimeogopa ulivyosema "kuna siku" wakati tayari walishamchagua Magufuli na leo Sa100 anafanya anavyotaka wako hepi tu
Wajinga ni nyie mliyemshangilia Lowasa 2015 na kumtenga Dr SlaaUlichiandika ndio tatizo sugu hapa nchini. Yani wajinga/'wakumbafu' ni wengi sana. Yapo kama nyumbu yanashangilia kila kitu.
Bwashee johnthebaptist ndio kiranja lao kubwa la majinga.
Umepanic bwasheeWajinga ni nyie mliyemshangilia Lowasa 2015 na kumtenga Dr Slaa
Kisha mkamchagua Cecil Mwambe na Dr Mollel kuwa wabunge
Unadhani bado hawajafanya hivyo?Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.
View attachment 2333332
Aisee wajinga ni wengi sana, yaani mpaka Jiwe akawa Rais!!! Dah hatari sanaNami nimeogopa ulivyosema "kuna siku" wakati tayari walishamchagua Magufuli na leo Sa100 anafanya anavyotaka wako hepi tu
Shida yetu tunajali chama kuliko nchi, ndo maana kwakua mimi ni chama fulani hata kama aliyepitishwa kugombea hafai baso nitajikuta namtetea tu na kumpigia kura hivyohivyo, sijui tutabadilika lini kwa hiliUjinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao.
Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba, mazumbukuku, wajinga na wapumbavu toka miongoni mwao.
Ndiyo! Itafika muda mwenye akili akiomba kura kwa kuongea mambo ya maana atazomewa. Lkn mpumbavu ataomba na kupata kura kwa kuongea kuhusu connection, Mandonga, mlete mzungu, kutetema kama Mayele au hata kukata mauno jukwaani. Huko ndiko tuendako.
Angalia hata makanisani siku hizi ili kuwafurahisha waumini makasisi wanalazimika kutetema kama Mayele. Wanafanya hivi kwasabb wanafahamu kuwa asilimia kubwa ya waumini wao wameathiriwa na matatizo hayo manne.
Angalia aina ya wabunge tulio nao hivi sasa. Sheria na bajeti vinapita mikononi mwao lkn hawagundui madhara ya wanachokipitisha mpk itakapoanza kutekelezwa nao ndiyo utaona wanahamaki.
Ni kwasabb wakiwa bungeni wanawaza uchawa, ngono, mpira na kufanya mizaha ambayo ndiyo sifa kuu za uzoba, ujinga, uzumbukuku na upumbavu.
View attachment 2333332
Mjinga mwingine huyu hapa...mlamba viatu chawa lumumba street...Wajinga ni nyie mliyemshangilia Lowasa 2015 na kumtenga Dr Slaa
Kisha mkamchagua Cecil Mwambe na Dr Mollel kuwa wabunge
Wapumbavu Wamejaa ccmUfipa st inahusika Hapa!
Mkuu sipendi sana kujibia hoja zako maana na mimi ninakua zuzu kama wewe, Mr.Lowasa kuingia upinzani ameweka facts zifuatazo:ndiye mgombea wa upinzani aliyeshinda kura nyingi kuliko wagombea waliosimama kwa oppositions slate;kuwepo kwa Mr.Lowasa upinzani ndio uchaguzi uliotoa wabunge wengi wa upinzani kuliko chaguzi zote za vyama vingi;kuwepo kwa Mr.Lowasa upinzani ndiko kulikofanya tiss ipoteze kabisa utendaji kazi wake,ndio maana leo ni tawi la uvccm pale lumumba, hawalindi nchi tena.Wajinga ni nyie mliyemshangilia Lowasa 2015 na kumtenga Dr Slaa
Kisha mkamchagua Cecil Mwambe na Dr Mollel kuwa wabunge
Ni mjinga tu anayeamini kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Katibu mkuu ni wapinzani by Halima MdeeMjinga mwingine huyu hapa...mlamba viatu chawa lumumba street...