Naogopa sana jinsi wapumbavu walivyo wengi. Kuna siku watatuchagulia Rais

Nami nimeogopa ulivyosema "kuna siku" wakati tayari walishamchagua Magufuli na leo Sa100 anafanya anavyotaka wako hepi tu
Jiwe alikuwa anashangiliwa na mazuzu tu,wenye akili walimpinga adharani,

Ngosha hakuwa kiongozi wakuigwa na yoyote kwenye style yake kiuongozi
 
Ndio waliotuchagulia maraHisi wote tangu Nyelele mpaka saa100.
 
Wajinga ni nyie mliyemshangilia Lowasa 2015 na kumtenga Dr Slaa

Kisha mkamchagua Cecil Mwambe na Dr Mollel kuwa wabunge
Na ndio ikawa sababu ya yeye kurudi ccm?akili za kipumbavu sana hizi pamoja na huyo lowasa wate wako huko huko upumbavuni.
 
Wengi wapewe.
 
Naungana nawee, bahati mbaya Wapumbavu wanazidi kua wengi na kibaya zaidi ndio wanaotupitishia Viongozi.


Bunge, Kuhusu bunge, nadhan hii Nchi ndio yenye Bunge lilojaa vilaza, wapuuzi na wajinga


Ndio sababu wengi wao wamebaki kupiga makofi, makele, Vifujo na nderemo kwenye mambo ya ovyoooo 'Panuaaaa 'n.k


Hawa Vitu maalumu, KUNDI Moja la Viazi Ulaya ambalo linatakiwa liondolewe Mara Moja !!


Sasa Bahati mbaya sana, Kiongozi mkuuu , Chui Jikez naye ni walewale !!
 
Hawa Vitu maalumu, KUNDI Moja la Viazi Ulaya ambalo linatakiwa liondolewe Mara Moja !!
Nimependa jina ulilowapachika. Kwamba ni VITU maalum na siyo VITI mawlum.

Hawa wapo kwa ajili ya jina ulilowapachika
 
  • Tayari yatuchagulia Raisi
  • Maeneo yanayoongoza kwa wapumbavu ni Dar, Mwanza, kanda ya Kati, na kanda ya kusini mashariki
 
  • Tayari yatuchagulia Raisi
  • Maeneo yanayoongoza kwa wapumbavu ni Dar, Mwanza, kanda ya Kati, na kanda ya kusini mashariki
Nchi hii mtu akiwa Upinzani basi ndio huonekana ana akili na kinyume chake ni wapumbavu. Hahahahahaha dah maajabu haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…