Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

Puff daddy hapo unazingua mzee kwamba wewe hujui sumu ya panya au mimi ndiye sijaelewa thread yako
Kweli mkuu zile dawa za baiskeli NIMETUMIA kweli mwishoo nkanza kuwatania na ya kuonja ipoo

Niliona kama wanakula awafi

Nkajaribu Indo acid WAKAFA wachache

Narudi Tena kwenye Indo acid namwaga darinzima mkuu
 
Kweli mkuu zile dawa za baiskeli NIMETUMIA kweli mwishoo nkanza kuwatania na ya kuonja ipoo

Niliona kama wanakula awafi

Nkajaribu Indo acid WAKAFA wachache

Narudi Tena kwenye Indo acid namwaga darinzima mkuu
Kama ni hivyo basi fuga nyau tu hapo huna namna

Then tengeneza mazingira ya paka kuingii kwenye string board
 
Hao panya ni CCM (chanzo cha matatizo),hapo nashauri utumie sumu+mtego kama huu
 

Attachments

  • 800002_Carded-Wooden-Mouse-Traps-x-2.jpg
    92.3 KB · Views: 1
Mkuu dawa kiboko ya panya mbna ndogo tu..
  • chukua shiling 500 mia tano. Nenda duka la pembejeo mwambie akupatie dawa ya kuhifadhia mahind. Kidonge kimoja jero wanauza.
  • hcho kidonge saga kiasi paka kwenye dagaa/nyama/samak au nyanya unaikata vpande, unatia unga wa kidonge. Tahadhari dawa inaharufu kari sana.
  • Watupie hkohko wakila aise ndo habar yao imeisha. Akila panya hyo hachukui ata dakika moja inamvuruga tumbo. Utakua unackia harufu tu wamekufa
 
Tumia chambo cho chote halafu nyunyizia unga wa indocine, utanishukuru baadaye!
 
Mkuu wewe nunua Paka tu! Just wakisikia mlio wake tu unatosha kuwahamisha!
 
One man down πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
Kweli mkuuu nimeambiwa hivyoo na Toka tumeanza kupambana NAOO YAAN ukishuka pesa kama jini linakujaa huyu katumwa mamamkubwa kaumwa ama MSIBA n shida tupu

Shemejio mahasira ya gafla yamemwingia YAAN n shida tupu

Ntafanyahivyo mkuu
Kusanya ndugu zako wa mitaa ya twiga na jangwani waje wanywe supu hapo na chapati zao wanapenda mteremko sana
 
Muagize mtu akununulie chuo kikuu SUA wanadawa nzuri sana panya hata awe mjanja vipi lazima afe

Huo mradi uko nje ya chuo, fungu la kuanzia wanauza elfu moja, (a packet)
 
Toa TANGAZO la kazi, wafanyie interview PAKA kadhaa wenye uwezo, nidhamu, weledi na uzoefu, Wapatie mkataba wa kazi waanze kazi mara moja!
 
kina dawa I ko kama pelets huchanganyi na chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…