Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili

NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu

Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo

Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa wa kitandaa huko darini yanapiga MAKELELE

Mpaka majuzi YAAN bmkubwa analalamika mbonaaa simalizi nkamtania sijui hayo mapanya huko juu HATA sielewi

Kifupi n mateso majuzi tulifungua kipande cha cylingbiardKIMOJA wazi tukianza kuwagonga wanakimbilia kwenye tumetoka kipande yakadondika tukayaua

YAAN yako kama bindamu sijui yako MANGAPI na TULIUA sita kwa sikumoja tu

Mwenye kujua dawa ya haraka kuwaua MSAADA pls
Unahitaji dawa uwatibu panya,kwani wanaumwa?
 
Kuna mtu amekwambia utumie dawa ya panya kutoka Sua Morogoro. Ile dawa ni kiboko. Iko kama tambi nene hivi. Yani ukiweka hiyo dawa jitahidi kufunika maji. Kesho utakuta wamekauka kau . Mimi jamani niliyeseka na panya. Yani .Kama hujafanikisha fanya mpango Sua. Nilipotumia dawa ya Sua saa hizi ni shwari kuu
 
Back
Top Bottom