Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

Mmh mkiweka sumu wanakula? Au ndo wanapita tu?

Maana panya , behind ni spirit ya uharibifu pia!
Sumu sawa ila nasisitiza prayer's. Naona km sio kawaida
 
Umeandika kama unakimbizwa, tulia uandike vizuri ueleweke
 
Kweli mkuu zile dawa za baiskeli NIMETUMIA kweli mwishoo nkanza kuwatania na ya kuonja ipoo

Niliona kama wanakula awafi

Nkajaribu Indo acid WAKAFA wachache

Narudi Tena kwenye Indo acid namwaga darinzima mkuu
Safisha chumba, toa makorokoro
 
Kweli mkuuu nimeambiwa hivyoo na Toka tumeanza kupambana NAOO YAAN ukishuka pesa kama jini linakujaa huyu katumwa mamamkubwa kaumwa ama MSIBA n shida tupu

Shemejio mahasira ya gafla yamemwingia YAAN n shida tupu

Ntafanyahivyo mkuu
Basi jibu unalo sio panya wa kawaida hao
Unachotakiwa ni kuomba tu sasa

Ni kwako I'm sure ,ulishawahi kuombea hapo kwako ardhi nyumba?
 
Tafuta nyoka hasa jamii ya kifutu Kisha muweke juu ya Dari ,tatizo la panya litaisha
 
Toa TANGAZO la kazi, wafanyie interview PAKA kadhaa wenye uwezo, nidhamu, weledi na uzoefu, Wapatie mkataba wa kazi waanze kazi mara moja!
Hili tangazo linawafaa nyie wana mwiko nyuma mkanywe supu ya panya kwa pidido wenu mnapenda sana supu au sio mwana-nchi
 
Barikiwa sana mkuu NAELEKEA HAPO tegeta leo
 
Mbona rahisi tu.

Fuga paka.

Hutasikia kelele yoyote usiku.
 
Mmh mkiweka sumu wanakula? Au ndo wanapita tu?

Maana panya , behind ni spirit ya uharibifu pia!
Sumu sawa ila nasisitiza prayer's. Naona km sio kawaida
Wanapita mkuu Tena nahisi wanazizomea
 
Embu jaribu hii mbinu ya kuwa confuse..

Download mlio wa paka ule nyau nyau weka speaker 🔊 huko dalini najua kwa ule mlio ma panya yata panic.

Pia indomethacin kwa mapanya buku hayafi..pia ata ule mtego wa gundi mapanya buku hayafi.

Mimi Kuna mapanya yali ingia ndani mlango ilikua wazi yakawa tukiyawekea sumu hayafi..tukiyawekea mtego wa vitabu vyenye gundi lakini Holla..

Njia nzurii siku nikayaamulia nikafunga milango tukapambana chumbani..ndipo nikagundua panya anauwezo wa kuziba pumzi..niliua panya wakubwa Kama SIMBILISI
 
Wale n shida mkuu YAAN wako kama binadamu wanene mbaya.....mkuu niliiwahi kudowload nikaweka wakapotea niliposema niaangalie simu nitoe kaka sikuikuta nkaita kijana AKAPANDA juu akakuta inakaribia SEHEMU walipoingilia katobo kadogo nkaichukua nkaziba ukweli niliapa sirudii tena maana nilihisi walikuwa Wanapita na simu yangu
 
Pole pdidy hautakufa😀
Yaaan niombee usiku nayawaza mbaya na Toka yajazane mandoto ya ajabu ajabu HAYAISHI YAAN

Leo wakiintikisa wife asbh anakwambia Jana ulipiga MAKELELE shida nn

Keshoyake mie NDIE namtuliza vipi mbona haziiishi kelelee lih
 
Kuna panya wakutumwa hawa hupatikana maeneo ya uswahilini
Mkuu baki na akili ya uswahilini

Huku mbezi beach tunapigana MISUMARI hataree sana hawajui uswahilini mkuu na wazee unawaheshimu kabisa na wanamali zao.........unawaza shida n loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…