Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

Unahitaji dawa uwatibu panya,kwani wanaumwa?
 
Kuna mtu amekwambia utumie dawa ya panya kutoka Sua Morogoro. Ile dawa ni kiboko. Iko kama tambi nene hivi. Yani ukiweka hiyo dawa jitahidi kufunika maji. Kesho utakuta wamekauka kau . Mimi jamani niliyeseka na panya. Yani .Kama hujafanikisha fanya mpango Sua. Nilipotumia dawa ya Sua saa hizi ni shwari kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…