Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Kafulila team,wapi masifu na kuabudu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™
Hata wewe ukiwa na Uzalendo kwa Taifa watu watakujadili tu utake usitake.
Sio lazima kutukanana Kila wakati tuwe na wasaa wa ku-appreciate juhudi za wengine kwa uwazi kabisa.
 
Mimi ni mzalendo na msema kweli na siyo chawa.
Huelewi maana ya uzalendo.

Umewahi hata siku moja kumsifia japo mtu mmoja ambaye anaikosoa Serikali au watawala kwa makosa ya wazi waliofanya watawala au Serikali? Umewahi wewe mwenyewe binafsi kumkosoa hata kiongozi mmoja wa Serikali au CCM aliyefanya makosa dhahiri dhidi ya Taifa?

Mzalendo wa kweli, siku zote husimama na na maslahi ya Taifa, na siyo wewe ambaye siku zote unaimba nyimbo za unafiki kuwasifu watawala kwa ujira wa aibu. Wewe ni ni zaidi ya chawa.
 
Hata wewe ukiwa na Uzalendo kwa Taifa watu watakujadili tu utake usitake.
Sio lazima kutukanana Kila wakati tuwe na wasaa wa ku-appreciate juhudi za wengine kwa uwazi kabisa.
And,too much is harmful.I repeat,too much might be harmful!
 
Sio lazima approach iwe ni hiyohiyo ya kukosoa au kusifia Upinzani,

Unaweza ukΓ sifia walio wazuri wabaya ukaachana nao watafanyiwa natural selection na muda hapo pia utakuwa umeonesha Uzalendo wako.

Naunga hoja mkuno ndg yangu Lucas Mwanshambwa
 
Too much ya nini Jf ni mijadala Kila siku na Mb watu wanazo kwanini wasijadili mambo ya Taifa lao?

Wewe nini kinakuumiza?
Wewe new member unaijua sana JF?Kuna harufu ya uzandiki hapa.I smell a fish around here.You've got evil intentions!Mmmffff!!
 
Kurudisha chenji ni swala gumu sana waliothubutu wapewe maua yao.
Au ndio vile Jesca kaona jamaa kama ni zezeta hivi unarudishaje chenji Serikalini? 😑😑
 
Kurudisha chenji ni swala gumu sana waliothubutu wapewe maua yao.
Au ndio vile Jesca kaona jamaa kama ni zezeta hivi unarudishaje chenji Serikalini? 😑😑
Chuma Kafulila ni mzalendo kwelikweli wa Taifa letu
 
Kurudisha chenji ni swala gumu sana waliothubutu wapewe maua yao.
Au ndio vile Jesca kaona jamaa kama ni zezeta hivi unarudishaje chenji Serikalini? 😑😑
Kurudisha chenji ni mbinu tu ya kuhitaji/kutegemea kitu mbeleni.Ni usanii.Usizubaishwe na con-men.Utaibiwa.Jiulize,kwa nini iwe leo baada ya muda ndiyo masifu ya urudishaji bakaa usifiwe wiki nzima.And,I count!Waache uplopesa hawa akina Luca na Raffa.I've got you unto the corner!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Wewe new member unaijua sana JF?Kuna harufu ya uzandiki hapa.I smell a fish around here.You've got evil intentions!Mmmffff!!
Mimi nipo kitambo Jf , Hata baada ya kuwa banned nimeibukia huku na kazi iendelee,humu Jf achana na ID jikite kwenye hoja zaidi.

Mtu anarushaje chenji na asisifiwe?
 
Sawa pamoja na yote ila Mwanaume unarudiahaje chenji Serikalini?
 
Wengi wenu inaonekana ni mbumbumbu kabisa wa mifumo ya fedha za umma. Pesa iliyorudishwa, mfahamu kuwa haikuwa kwenye account ya Kafulila au Tulia. Unaposema kuwa eti wasifiwe kwa kurudisha, ni ujinga na upunguani wa kutojua mifumo ya pesa.

Pesa inayopelekwa na Serikali sehemu yoyote ni kutokana na bajeti. Na bajeti haimaanishi ni matumizi bali ni makadirio kutokana na mazingira ya wakati huo.

Baada ya matumizi, pesa inaweza kusalia au kupungua. Ikipungua, itaombwa nyingine, ikibakia unaomba idhini ya kuibadilishia matumizi au inarudishwa hazina mwishoni mwa mwaka wa bajeti ili kusubiri bajeti mpya. Pia ikitokea mathalani bajeti ya mradi ni milioni 500, serikali ikatanguliza milioni 100, halafu baadaye isilete pesa nyingine, na wewe msimamizi wa bajeti unaona hiyo 100m haiwezi kufanya chochote, ni jambo la kawaida kuacha kuitumia pesa hiyo, ukairudisha hazina mwisho wa mwaka wa bajeti, kusubiria bajeti mpya. Na hilo linafanyika kwenye idara zote za Serikali.

Sasa hawa punguani, wanaongea kama vile hiyo pesa ilikuwa kwenye account ya Tulia na Kafulila. Kama haikuwa imetumika, na ipo kwenye account ya Serikali, hata kama siyo waadilifu, mnaamini kuwa walikuwa na uwezo wa kysrma kuwa pesa hiyo itoke kwenye account ya Serikali iingizwe kwenye account ya Kafulila au Tulia?

Kuna vitu watu wanaandika, wakidhihirisha upunguani wao.

Kama mleta mada angekuwa na akili japo kidogo, aheri angewasifia kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi kwenye maeneo husika, siyo kurudisha pesa Serikalini, ambao ni utaratibu wa kawaida kwa ogisi zote za Setikali wakati wa mwisho wa mwaka wa bajeti.
 
Mimi nipo kitambo Jf , Hata baada ya kuwa banned nimeibukia huku na kazi iendelee,humu Jf achana na ID jikite kwenye hoja zaidi.

Mtu anarushaje chenji na asisifiwe?
Daaah sijui huyu Kafulila anamoyo gani huo?
 
Mimi nipo kitambo Jf , Hata baada ya kuwa banned nimeibukia huku na kazi iendelee,humu Jf achana na ID jikite kwenye hoja zaidi.

Mtu anarushaje chenji na asisifiwe?
Kwa hiyo alirudisha chenji(bakaa)ili ajijenge kisiasa?Kurudisha bakaa unayoiita chenji or whatever,siyo hisani,sifa au muujiza.Ni takwa la kisheria na kihasibu kutoa taarifa ya urali wa kimahesabu unapokuwa mhazini au kupewa mamlaka kifedha na utunzaji.Sasa hizi sifa ninyi mnazitoa wapi?Ninyi ni matapeli pedee/kiuhalisia.
 
Hawa ni matapeli wa kisiasa wanaodhani wanawasiliana humu JF na wajingawajinga wa mitaroni huko.Pure political conmen!
 
Acheni wivu ewe mtanzat uliojaa msongo wa mawazo.tuwe na moyo wa kuwatia moyo wazalendo wa Taifa letu badala ya kuwakatisha tamaa
 
Mkuu naomba na Mimi nikuulize swali dogo,
MIFUMO YOTE YA SERIKALI NA TARATIBU ULIZOZITAJA ZIMEFANYA KAZI KWA TULIA NA KAFULILA TU? πŸ˜‚πŸ˜‚

Let's be serious hata kama mtu unamchukia ila hata kimoyomoyo ukubali juhudi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…