Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Maajabu, kauliza ya singida dc anajibiwa ya singida mc. Singida dc ni vijijini, eneo la singida dc wakazi wake wengi ni wanyaturu, japo kuna wahamiaji wasukuma. Wanyiramba wengi wapo Iramba. Wilaya ya Iramba ina majimbo mawili, magharibi na mashariki, huko kote ni wanyiramba wengi japo kuna makabila mengine kwa uchache kama wanyisanzu, wanyaturu, wahazabe na wasukuma. Idadi ya makabila ya maeneo haya inaonekana wazi. Kila kabila lilipo singida dc lina miiko, mila na desturi zao kulingana na tamaduni zao. Kwa ujumla tabia za haya makabila yaliyopo singida dc zinafanana, ni watu wakarimu wanaopenda wageni
 
Nashukuru kwa maelezo machache niliyopata toka kwa Ndege Jon and co Imani yangu nitaendelea kuoata zaidi,,,,wale wa mkoa wa Tabora kesho tutajuzana ya huko kwenu maana nataka kufanya maamuzi ni wapi niende
Bila kumalizia mwisho wa reli basi tour yak haitakuwa na maana. Fika kule ukitoka Tabora, hutajuta.
 
Maisha ni mazuri
Vyakula vingi vipo kwa bei nafuu kama mahindi,viazi vitamu,mchele,maharage,vitunguu na kuku wa kienyeji bila kusahau asali

Vyumba vya kupanga vipo 15 hadi 80 k ni wewe tu

Viwanja vya starehe ni vingi sikuizi
Rode,Renzaure,kbh nk

Vyuo ni vichache na ni vya kati vitoavyo diploma
Kiasili mji wa wa Singida upo katikati ya makabila mawili ya jamii ya kinyaturu upande wa kusini na magharibi ni wahi(akina lisu na simbu) na upande wa mashariki na kaskazini ni wairwana (akina nyalandu) hapa inatakiwa uishi nao Kiana mfano wanawake wa kiahi ni matapeli na wajasiri kukufanya chochote tofauti na wairwana ambao wao ni waongeaji zaidi ya vitendo
Hivyo kuufanya mji usiwe na Mila strong na kwa saivi mji unapopulation kubwa inayoundwa na wanyaturu,wachaga,warangi na wanyiramba

Usafiri ni bajaji huku kila moja hapendi shida
 
Singida dc means Singida mc na halimashauri ya Singida
 
Shukrani sana kwa maelekezo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Town pamechangamka Sasa hivi wageni wanajenga kwa Kasi tunashukuru wachaga wame Jenga mno mpk viwanja vimekuwa ghali..mtaani barabara sio nzuri Sana vumbi lipo Sana ila kwa kuwa kamji kadogo na Kuna mabwawa mawili yanatupa faida
Mandewa watu wamejenga kwa fujo.mijumba mikubwa mikubwa pale kama jiwe la waashi.nilipita nikaona kuna hospital wkaaasema ni ya mbunge.sijui kama imeanza kaz
 
Ukweli ni kwamba Singida ni pazuri kuliko Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…