Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia


Sorry una ka ushamba flani hivi
 
Pole Mkuu, kikubwa hapo ni umepoteza Imani, hata sadaka unazotoa pia unatoa bila Imani ndio maana inakusumbua, na unahisi kama unawapa viongozi wa kanisa badala ya kumtolea Mungu.
Ndugu yangu, Mungu yupo, na anakupenda, ila amekupa wewe kuchagua kumuamini au kutoamini, Uzima au Mauti. Japo utaratibu wetu wa kumtafuta unaweza kuwa kikwazo kwako kulingana na mapokeo ya viongozi wa kanisa lako, uwe tu na ujasiri wa kuwaambia kwamba hauamini sawasawa na wao, kwahiyo wakuache, nafikiri wana kuzingatia maana wanajua mko pamoja.
 
ILa wanachoshaga RC kweli wanachosha hadi unataka uhamie dhehebu jingine njoo lutheran utatoa mochango ila ukishatoka church ufuatwi fuatwi
Nao wameiga siku hizi wanaboa tena Lutheran huwa makanisa yao hayaishi kwa sababu wachungaji wansomesha watoto wao nje ya nchi na pia kuna muda huwa wanagombana kwa sababu ya sadaka za waumini
 
Una busara sana aisee
 
Yes mkuu na jiran alikuwa rc akachana na jumuiya alipokufa waliwauliza viongozi wa jumuiya akajibiwa alijitoa padre akagoma tukaenda kutaftaa mlokole akameza 50000 yake akasalisha tutukazika
Mi sitaki hata kuombewa au kuzikwa na kiongozi yoyote wa dini mi hata nikiumwa mahututi sitaki nipelekwe kwenye maombezi wala kwa waganga nataka nipelekwe hospitalini tu ikishindikana biashara inikate huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…