Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

Siku hayo magari yakiondoka na pesa nayo ikaondoka utawatafuta watumishi wa Mungu kwa bidii. Pia ukizeeka ndio utaanza kumtafuta Mungu. Na ukifa ndio utaanza kwenda kanisani na kwenye jumuiya ili uzikwe na Kanisa.

Mungu yupo, tofautisha ubabaishaji wa wanadamu na uaminifu wa Mungu. Sapoti Kanisa lako kuna faida za kuwa mwanachama huko ila angalia pia usibaki kwenye mambo ya kidini tu, faidi nguvu za Yesu na mambo yake mazuri kama ulinzi na mengi mengine. Jifunze zaidi MAARIFA YA KIROHO, usibaki kwenye mazoea ya dini pekee, yanaua!
 
Huyo mke wako qanaweza kupitia kwake wakakuharibia maisha yako na wakakukomoa. Kufuata chochote cha kiimani inahitaji uhuru kamili wa mtu sio kumuwekea mazingira ya kumkokota kama Mkokoteni. Mungu Mwenyewe anataka watu wanaomwendea kwa Utashi na uamuzi wao kwa asilimia mia sio mambo ya kumanipulate watu kipsychologia.

Hao makasisi na watawa wanafahamu ilo ila wanafanya makusudi. Kunajaa waumini mikokoteni.

Kingine, mke anatakiwa amtii mumewe kama vile anavyo mtii kristo sio padri yaan kama anavyotakiwa kumtii Bwana ake padri. Sasa kama yeye amekuwa mkereketwa mwambie asikuhusishe. Wala kushiriki mbinu zao chafu juu yako atakuwa amevunja agizo la utii na ww ukiamua kuvunja la kumpenda kama kristo apendavyo kanisa lake ataishia wapi?
 
😂 katibu unakataa ukatibu wakati kuna watu wanajisifu hata kusoma neno pale mbele na wamewekeana zamu!, ila haka ka dunia katamu sana mi nimekapenda na nilichokipendea ni kitu kimoja waumini sio wachoyo!..😂
Siobwachoyo kwenye nini mkuu ??
 
Umeiweka vizuri sana mkuu
 
We skiza fanya hivi mtafute pembeni kiongozi mmoja wa jumuiya umuelezee kinagaubaga nia yako hii ya kujitoa na kuwa wasije malangoni kwako,
fullstop.

Trust me HAKUNA ATAKAYEHANGAIKA NAWEWE MILELE.

wewe kinachokusumbua ni unafiki HAUJAWA MUWAZI na si ajabu hata uko jumuia pengine huwa unahudhuria ndomaana wenzio wanajua mpo pamoja.

Navojua mimi katika madhehebu yaliyo mengi RC KUBEMBELEZA mtu NI MWIKO yaani HAIPO HATA siku moja
 
Izo hela na hayo magari watayala kirahisi sana siku ukiwa haupo hapa Duniani
 
Kinachonirudisha nyuma sio unafiki wangu kama unavyosema bali wife anawaomba msaada kuwa mimi nimeyumba kiimani hivyo natakiwa nirudi kundini
 
Maelezo mengi wala huna gari hata moja. Labda una midoli ya magari. Mkatoliki wa kweli hawezi kuja huku sababu ya michango ya zaka na sadaka.

HAKUNA Mkatoliki analazomishwa kutoa zaidi ya alichotoa. Hata kama ungekuwa tajiri kama Aliko Dangote kikipita kikapu cha sadaka usipotoa hakuna hatua utachukuliwa.

Wewe siyo MKATOLIKI bali unataka tu kudhalilisha UKATOLIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…