GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo langu nina Akili sana Mkuu.dah kwani unawazaga nini mkali 🤣🤣🤣🤣
Bado anatumia VRA's zake alivyohamia Kwenu kama ambavyo alikuwa akizitumia alipokuwa Kwetu tangu 2021 Mkuu?Huu uzi mbona unaonyeaha mleta mada ana maumivu makali kuliko chama mwenyewe
Mwenye akili nyingi nani wewe Genta?😂😂Tatizo langu nina Akili sana Mkuu.
dah kwetu wapi mkuu nashabikia timu inyoshindaBado anatumia VRA's zake alivyohamia Kwenu kama ambavyo alikuwa akizitumia alipokuwa Kwetu tangu 2021 Mkuu?
Kwa nilivyomuelewa mimi alifikiria mafanikio yapo upande mmoja tu,he was wrong kwenye hili,Pili alikwisha saliti Kwa kua karibu na viongozi wa yanga wkt bado ni mchezaji wa simba,hapa ni usaliti kabisa,ndipo Yanga wakampatia dau kubwa kuliko alichokua anapata simba.Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
Basi tuseme ndiyo una Akili nyingi vipi umefurahi?Mwenye akili nyingi nani wewe Genta?😂😂
Malengo yake yalikuwa ni gusa, achia Waarabu robo fainali na lengo lake limetimia kwa 100% Tatizo liko wapiYaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
Utopolo walimchukua lengo ikiwa kuwakomesha Simba badala yake wamejikomesha wao na Chama waoYaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
Bado anatumia VRA's zake alivyohamia Kwenu kama ambavyo alikuwa akizitumia alipokuwa Kwetu tangu 2021 Mkuu?
Amefanikiwa. Ndo hayo mashindano makubwa kayapata anasubiri tena next time. Ametuletea Yanga gundu tu na uzee wake anatembea kama kajinyea. Mimi nliwaambia akina Hersi Chama hamna kitu Simba hawana shida naye tena ameshazeeka....wakawa wabishi.Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
Chama anatumka VRA. Inafahamika. Simba walituachia ili tuhangaike naye hawa mambwa. Amekuja gundulika sasa hapangwi dk. 90. Wanasema asichoshwe sana.Hee kumbe mlituletea mgonjwa na hamkusema au ndo sitaki mbichi hizi mkuu?
Yule Alidanganywa Tu Kaenda Kwenye Genge Ambalo Halina JipyaYaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
Yametimia,asingekuwwpo asingecheza klabu bingwa.Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
hayakufikiwaYaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
mkuu umeona mbali sana pia umenikumbusha na balekeYaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
Wana Simba SC wa ndani kwa 100% tunajua Nyaya za Umeme kwa Chama zilikatika Kitambo baada ya Mkude Kumponza kwa yule yule aliyemuumiza pia Boss wa zamani CECAFA, Boss wa zamani Simba SC na Mwandishi wa Kike mkongwe wa Gazeti la Kampuni ya Marehemu Tajiri wa Kichagga na Radio yake Moja. Sitaki Swali / Maswali tafadhali ila jua kuwa Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tajiri wa kupata Taarifa zote za Ndani na Sera yangu ni kwamba ULIPO NIPO.Hee kumbe mlituletea mgonjwa na hamkusema au ndo sitaki mbichi hizi mkuu?