Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu embu nipe umbali kwa kilometer ili nishauri sawasawa.Habari za leo wakuu, ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo.
Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa makadirio na changamoto zilizopo barabara hiyo ya Dar - Dodoma,
Chombo ni mbili moja boxer cc125, na Tvs cc 150 madereva tupo wawili.
Natanguliza shukrani.
Kuna watu wametoka London vuka mabonde mito mpaka Tanzania na kikomo Johannesburg Afrika Kusini...
Piga Dar-Moro
Moro-Dom kila baada ya masaa mawili weka chombo pembeni punzika.....
My intention hizo pikipiki si za safari ndefu.... Kiafya usizipe mzigo..
Dar to Dom ni 450KM.Mkuu embu nipe umbali kwa kilometer ili nishauri sawasawa.
Shukrani mkuu, ka adventure mara mojamoja sio mbayaMkuu, kama kufika haraka sio issue kwako, piga gear vyombo hivyo. Adventure.
Utatumia siku 2. Pumzika kila baada ya 2 hours au kila baada ya kilometa 100-150. Pumzika kwa saa moja hivi.
Uzuri izo pikipiki ni famous, kwahiyo kila unavyopumzika unaweza enda sehemu penye mafundi wakacheki upepo na vitu vidogo vidogo.
Ukibadirisha oil huku hauna haja ya kubadirisha hadi Dom.
Mi nishaenda na pikipiki Dar to Mbeya, na ilikua air-cooled, TVS apache 180, na ilikua poa sana.
Utachoka kingese ila iyo safari hautakaa ukaisahau maishani mwako.
Narudia tena, kikubwa usiwe na haraka.
Shukrani sana mkuu, hii njia nitaitumiaDar - Dodoma haina haja ya kupakiza pkpk kwenye Lori, cha msingi jaza mafuta full tank hapa dsm, ukifika Moro jazia tena mafuta full tank na upumzike hata dak 45 hv ili injini ipoe kidogo. Hakikisha pkpk yako umejaza oil mpya na umekaza brek vizur. Ili usiumizwe sana na upepo usiendeshe spidi zaidi ya 85km/saa, vaa koti na kofia ngumu, vaa suluari ya jinsi na viatu vya ngozi. Safari yako anza sa 10 alfajiri toka dar ili usipate usumbufu wa mabasi.
Yaani natamani moja ningeendesha mimi. Yaani mnajiondokea jumamos mnafika jumapili, jumatatu upo ndani ya Kimbinyiko umelala mwanzo mwisho hadi Mbezi unakoroma tu.Shukrani mkuu, ka adventure mara mojamoja sio mbaya
Dar Es Salaam ~Dodoma Kilometres 450Kwanza tujue.
1. Dar dom km ngapi
2. Unaenda kwa km ngapi kwa saa
3. Lita inakupeleka km ngapi
4. Je una vifaa vya kujikinga, koti, helmet nk
5. Je una tool box
6. Una pesa ya dharura.
Inawezekana kabisa. Wanaokutisha hata pikipiki hawajui kuendesha. Jipange, inawezekana.
Sure sana sana koti, helmet zuri, aisee ule upepo haufai, na ear plugs.Dar Es Salaam ~Dodoma Kilometres 450
CHANGAMOTO Ulizosema Anaweza Kuwa Hana Vifaa Vitakavyolinda Afya Yake
Upepo Mkali Halafu Bus Nyingi Barabarani Naiona Changamoto Kwenye Usaalama WakeSure sana sana koti, helmet zuri, aisee ule upepo haufai, na ear plugs.
Kuna muda masikio yanakua kama yameziba hivi.
Kheri ukasafirisha kwenye magari ya mizigo au hata kwenye bus wanakusafirishia.Hapana mkuu, bado napenda sana kuishi
Hiyo safari igawe siku2 kwa kutembea saa sita sita.Dar to Dom ni 450KM.
Usimshtue na weweUtapasuka kifua dogo na bodaboda yako utuachie mkeo tumle kilaini
Mlikuwa wote,au ndiyo ulifungwa kambaDodoma mbona karibu tu,mi mjomba wangu alitoka na pikipiki kuanzia kariakoo mpaka Urambo Tabora