Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

Source Hindustan times? Hapo ni kama Tunaongelea issue za Trump halafu source iwe manara TV. Vyema tafuta mwenyewe huko Forbes.
 
Forbes wanapima public listed companies tu, Ndio maana waarabu wa mafuta hawapo sababu utajiri wao ni private, ama hao wengine. Pia Al nahyan si matajiri kama Familia ya Al Saud.
Yule wa al saud haesabiwi sababu ni king,wealth ya nchi nzima ni yake, kwaio wealth zao ni generational ndo maana kwenye families hua hawamueki
 
Halafu huku bongo ticha analipwa laki tatu kwa mwezi dahhh! Dunia hii Tuache tu
 
 
Yule wa al saud haesabiwi sababu ni king,wealth ya nchi nzima ni yake, kwaio wealth zao ni generational ndo maana kwenye families hua hawamueki
Kivip, Mali nizawananchi hakuna mtu anamiliki nchi aseme yangu kana kwamba anaweza hata kuwafukuza..
 
Hakuna utajiri unaopatikana kirahisi kumbe duuh
 
Mmh
 
Rockefeller ni matajiri sana lakini eti Google wanasema Elon musk ndo tajiri kuliko wote shut up 🤣🤣🤣.. Ila kwa roman catholic church apo umetupiga hawawez mzidi Elon musk wala Mukesh Amban
Catholic Church in Germany alone kwa mtindo wa kukadiria tu na kwa kuacha real estates na mengine mengi lina utajiri wa zaidi ya $26 bilion na ni kasehemu kadogo sana ka Kanisa zima. Utajiri wa Kanisa Katoliki pia ni mtambuka sana na ukienda kwa mfano kwenye sadaka za kila wiki tu Kanisa Katoliki huingiza zaidi ya $500 millioni ambazo ni zaidi ya $25 billion kwa mwaka! Bado kuna investiments nyingi sana kama mashule zaidi ya na vyuo vikuu maelfu duniani vinaingiza mapato kila mwaka. Ona kwa kifupi tu hapa kuhusu mashule ya Kanisa Katoliki:

The Catholic Church operates an extensive network of educational institutions worldwide. As of recent data:
Ukipenda weka na vyuo vikuu hapo:
The Catholic Church operates a network of 1,358 universities and higher education institutions worldwide according to the Vatican’s Congregation for Catholic Education. However, the United States Conference of Catholic Bishops (USCCB) counts it at 1,8611. Some notable Catholic universities include Georgetown University, Katholieke Universiteit Leuven, University of Notre Dame, and Boston College2.
 
Mfumo wa benki duniani ni mali yao, wao ndio huamua exchange rates ya pesa wao ndio hufahamu, biashara za dhahabu na almasi na mawe mengine ya thamani wao ndio wanacontrol nadhani Kwa ufupi ni hivo
 
Utajiri wa roman wa kawaida tu bado naww, hao fananisha na dangote
 
Mkuu hii mipunga faza zao ndo walizitafuta au ilikuwaje!?
 
Mfumo wa benki duniani ni mali yao, wao ndio huamua exchange rates ya pesa wao ndio hufahamu, biashara za dhahabu na almasi na mawe mengine ya thamani wao ndio wanacontrol nadhani Kwa ufupi ni hivo
Kwann wao? Wananguvu gn ya kushawishi yote haya wafanye wao tuu bila compitition, wao wamekuwa Akina nani
 
True
Taasisi kubwa kubwa za kifedha duniani ziko chin yao,wamefanya mengi makubwa sana,miundombinu ya usa na mengine mengi sana ila huwezi kuwasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…