Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

Forbes wanaweka matajiri halali ambao biashara zao zinaokena ,, kuna matajiri wengi huyo Musk kuna watu pale mashariki ya kati hasa saudi hawakuti hata nusu ,sema hao biashara hazieleweki ni watu wana siri za hatari sana , wanapata easy money.

Forbes na bloomberg wanadili na watu wanaofanya biashara na uchumi kwa ujumla ...Hapa bongo kuna jamaa anaitwa Bakhresa nae ana pesa ila hayo majarida hayamjui .
 
Kwann wao? Wananguvu gn ya kushawishi yote haya wafanye wao tuu bila compitition, wao wamekuwa Akina nani
Globe monopolization kwenye baadhi ya deals haiepukiki, duniani kuna makundi matatu, moja ni kundi linalofanya mambo yatokee, kundi la pili ni wale watu wanaoelewa kile kinachotokea, kundi la tatu ni wale wasiojua lolote bendera fuata upepo kama watanzania, dunia wakati inahama kwenye mfumo wa ubadilishanaji kutoka burter system kwenda monetary system hao jamaa walihakikisha wanamiliki njia kuu zote hivo kila ukistuka unajikuta uko kwenye mfumo wao
 
Ndiyo Rocka Fella?
 
Baresa ana hela gn na ww bhnaa, hata apo Kongo Kuna watu hawamjui.. Unamjua Martin Fayulu? Ana pesa huwez kuhesabu
 
Duuuh
 
Kama ni wakuja Dar lazima utasema Mo anamzidi mzee Bakhresa kwa utajiri.
 
Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family
Rothschild family ni raia wa nchi gani? Umewahi kumuona?
Swali ni kwamba, nini kinafichwa juu ya hii Familia mpaka Forbes wamuweke Elon musk kuwa tajiri kuliko wote duniani ilihali Kuna binadam wenye pesa ndefu nahawatajwi
Hakuna kinachofichwa, ila mtafute huyo Rothschild kwanza watu wamuone.
Huyu jamaa alisema ukiingia kwenye dark web, Kuna orodha ya watu wanaomiliki pesa zaidi ya kumi na majina yao sio maarufu, mbali na hapo wenye pesa kubwa majina yao hayajulikani
Dark-web again🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…