Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

Pia kuna madrug loard wana fedha balaa
 
Kenya nimefika , Msumbuji ....Utajiri wa Mo ni mpiga dili hana uwekezaji wa maana , angekuwa na timu yake kama azma acha utani wewe .
Kua na timu yako ndo kipimo cha utajiri?
Mo bidhaa zake kuanzia kilimo,chakula asilimia 80 anauza nje ambako ndo soko na faida kubwa ilipo,yule mjinga akili nyingi ndo maana kampiga gap sana bakhresa,na ile kampuni Metl group bonge moja la company sema bongo bongo watu hawaijui sana,sababu amejikita sana soko la nje. Shida bakhresa kawateka sana soko la ndan ndo mana mnaona ana hela ila sio kweli
 
Forbes wanaweka self made billionaires,wenye pesa za kurithi au familia hawaweki,ndio maana huioni familia ya mfalme wa Saudi Arabia au wa Brunei...kuhusu utajiri wa Rothschild na Rocafella imezungumzwa Sana humu,pia tafuta kitabu kinaitwa World's Banker,Kama unakitaka nicheki...
 
Kuna kipindi kimoja kilirushwa na History Channel wao walielezea influence ya Rothschild katika dunia. Hii familia sio familia ya kawaida! Wana influence kubwa kwenye uchumi, teknolojia, elimu na mifumo ya kijamii. Wana pesa chafu kiasi kwamba hakuna chombo cha habari duniani kinaweza kuandika kitu kibaya kuhusu hii familia na wakabakia haki. Itoshe kusema kuwa wameshika dunia ila Forbes hawawezi kuanika wazi mpunga wanaoushika Rothschild.​
 
Usiwe malize maneno kaangalie investment portfolio ya SSB then uone , usifananishe ego za Mo na Bakhressa ni watu tofauti ...SSB sio mpiga kelele kama unavyofikiria ....We unaangalia sijui mtu kusoma anaongea sana .

SSB sio motivational speakers wala mkariri kingereza ,anafanya biashara kweli na umri wake hana haja ya kushindana na mtu .

SSB ndio kashika nchi ana viwanda kibao ...Acha ubishi na uongo vyakula vinavyouzwa nchi hasa ufuta ambao nido una pesa nyingi sio wa Mo ...Mo anavamia kila uwekezaji kwa kumuiga bakhresa.

 
Mfalme wa Saudia pesa anayo Ila sio kumzidi eti Elon musk huo ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…