Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

Hakuna mshahara kuna makubaliano ya mkataba baada ya miaka ya makubaliano, unapewa pesa ya mtaji na chumba.
Hii kwa wakinga wenzangu wote wa kkoo tunafanya hivyo 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
Haya binti wa mahenge 🤣🤣🤣ila mbona Sisi Vijana wake tunakimbiza guta mwaka wa 13 lkn hamna dalili ya kupewa hata cartoon moja
 
Kariakoo ni soko kubwa kama umepata mdhamini wa kukuingiza hapa mshahara usiuzingatie sana sogea kwanza eneo la tukio uchanganyike na watu upate connection.

Kariakoo walioajiriwa wengi wanaishi nje ya mshahara wao wanaishi kwa kupiga winga ukitaka uishi kwa mshahara hutoboi utamuibia mwajiri wako mwisho ufukuzwe.
 
Hii inategemea lkn Kwa uzoefu wangu;

Kwa wachina
Kama utakua dukani ni laki tatu kwa mwezi, kama utakua store laki tatu na nusu

Kwa wabantu
Wengi ni laki mbili mpaka mbili na nusu

Waarabu/wahindi
Hawa wengi wanauza vitenge, vitambaaa sijui mapazia na vingi venye uhusano wa namna hyo

Mshahara 360k....... priority wanatoa kwa wanaume
 
Kariakoo ni soko kubwa kama umepata mdhamini wa kukuingiza hapa mshahara usiuzingatie sana sogea kwanza eneo la tukio uchanganyike na watu upate connection.

Kariakoo walioajiriwa wengi wanaishi nje ya mshahara wao,wanaishi kwa kupiga winga
Tulia basi usiwasanue😁😁mtu analipwa 200k lkn utakuta anacheza mchezo wa 20k per day
 
Hii inategemea lkn Kwa uzoefu wangu;

Kwa wachina
Kama utakua dukani ni laki tatu kwa mwezi, kama utakua store laki tatu na nusu

Kwa wabantu
Wengi ni laki mbili mpaka mbili na nusu

Waarabu/wahindi
Hawa wengi wanauza vitenge, vitambaaa sijui mapazia na vingi venye uhusano wa namna hyo

Mshahara 360k....... priority wanatoa kwa wanaume
Unafanyaje kuipata hio kaz boss na kuna mtu anahitaj mtu wa kumuuzia,?
 
Kkoo winga ana maisha mazuri sana, kuna wale wanaotumia mizigo wafanyabiashara wa mikoani wenyewe wanachukua kwa wachina.
Ukitulia kkoo unapata pesa ya kuvimbia mtaani.
Eeee sasa hyo mfano kama unachukua sana katoni Kwa mchina, unakubaliana nae tu kwamba mi ntakua nachukua mzigo kwako na Kwa kila katoni Moja anakupa offer ya pisi Moja ambayo wanaipa thamani ya 5000, ko ukichukua katoni 10 tayar una 50k ubavuni plus na Hela utakayopewa na mtu unaemtumia mzigo unakua na uhakika wa kula
 
Back
Top Bottom