Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Wabantu wanabana kinoma ila wachina hawana noma kwanza wanakutegemea kwenye kuongea na wateja, kipindi Cha task force changamoto yeyote ya risiti lazima ww uhusike mchina anakua anaangalia tu (kama huna risiti ukiambiwa fine laki Moja we unasema laki tatu🤣 mbili yako)Kuajiriwa dukani tu ni fursa tosha, sehemu yenye mzunguko wa biashara kama Kariakoo ukiwa na boss hakubanii ni mchongo yani.
Pia wale wateja wanaokuja dukani ww ndo unachukua mawasiliano yao na watsup group unali-manage ww...usipofanya jambo jipige kifua mara tatu sema Mimi ni zwazwa