Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Asanteni wakuu,dondoo mlizonipa ni mule mule nilizopewa na baadhi nimejionea,nimefata ushauri wenu
 
anzisha uzi wa hiki kisa
 
Bro usiwasemee wanaume wengine eti nimewaangusha!tatizo ni moyo ndo haukumtaka.wazungu wakasema one manβ€˜s meat is another manβ€˜s poison.we jitafutie wakungβ€˜angβ€˜ania mimi hapana.
 
Siku hizi unaoa TU lakini hakuna umilele wa kifikra kwamba lazima uzeeke nae kama Hana sifa za kuzeeka nae!!ukiona mambo mengi unajiengua kisanii bila kelele Wala mahakama kisela tu!
Ila mmejitahidi kuwaponda aiseee.!! 😹😹

Haya mumpe ushauri sasa aoe kabila gani? Maana makabila yote mnawasema.!!
TU
 
Siku hizi unaoa TU lakini hakuna ukulele was kifikra kwamba lazima uzeeke name kama Hana sofa za kuzeeka nae!!ukiona mambo mengi unajiengua kisanii bila kelele Wala mahakana kisela tu!

TU
Mhmm!! Umenipa shida kusoma na kuelewa ulichomaanisha..!!
 
Kuna Mjita mmoja ana jisifia huyo...ninge share huu uzi kwake, ila basi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…