MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
HahahaKuna guest zina vitanda vya cement, ni hizi za bei nafuu.
80k ni hotel au lodge?Huko malazi andaa minimum 80,000. Pombe popote zipo na totozi zipo
Usisahau cheti cha ndoa (Original) kama utakuwa na mwenza wa jinsia tofautiWakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate kauzoefu kabla ya safari.
Karibuni!
Sio kote mkuu zipo sehem hawafuatilii mambo ya watu pesa yako tuUsisahau cheti cha ndoa (Original) kama utakuwa na mwenza wa jinsia tofauti
Hapo baraste (Mlandege) upande wa pili ndani kidogo ipo super lodge chumba 45000, pia ni nzuri kama Budget ndogo. Ina Ac, Wifi, Hot Bath etc.Zanzibar kuna hotel inaitwa Baraste lodge kagorofa flani hivi, madem zangu wawili nilifika nao hapo kwa nyakati tofauti pale ni pazuri sana sema kwa siku ni 65,000 kuendelea , chumba kikubwa full ac , friji, viatanda viwili ukienda hatanna watoto fresh, choo bafu humo humo , asubuhi unapata breakfast safi
Sema kwa kipindi hichi ukilia nao 60 hadi 65 unapata chumba cha gorofani safii tu full ac
Asante MkuuTafsiri ya gharama sana ni kias gan? ZNZ hakuna mtandao wa lodges na Gesthouse kama huku bara nyingi ni Hotels
May be uandae budget ya kuanzia Dollar 30 kupata Malazi kuhsu hayo mengine ya totoz labda kama kama utaenda kwenye night clubs zao eg Kwa Komba kama bado ipo.
UbarikiweHapo baraste (Mlandege) upande wa pili ndani kidogo ipo super lodge chumba 45000, pia ni nzuri kama Budget ndogo. Ina Ac, Wifi, Hot Bath etc.
Asante SanaZanzibar kuna hotel inaitwa Baraste lodge kagorofa flani hivi, madem zangu wawili nilifika nao hapo kwa nyakati tofauti pale ni pazuri sana sema kwa siku ni 65,000 kuendelea , chumba kikubwa full ac , friji, viatanda viwili ukienda hatanna watoto fresh, choo bafu humo humo , asubuhi unapata breakfast safi
Sema kwa kipindi hichi ukilia nao 60 hadi 65 unapata chumba cha gorofani safii tu full ac
[emoji16][emoji1] Ila ni Vyema Umenipa Angalizo!Usisahau cheti cha ndoa (Original) kama utakuwa na mwenza wa jinsia tofauti
[emoji1][emoji1] Dah!Kuna guest zina vitanda vya cement, ni hizi za bei nafuu.