white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hapo ni pa ovyo mno!!yaani chumba cha 30,000 choo kiko nje!!mi siku hizi nafikia mamba lodge 25,000 chumba ni self contained na ni pa safi kabisa!!Unguja bnana ukienda kichwa kichwa unaweza kukosa pa kulala,tumezoea huku bara kila chocholo ni guest house.DAh hiyo mtendeni nimeenda leo asubuhi ni kuchafu sana nimekuta Kuna mzee amekaa mnene mlemavu yupo ananyolewa nywele kwa ndani nikavua viatu ndani Kuna wafaa wenyeji maana Ile ni familia 30,000k ni maajabu nipo zangu Fuoni lodge nimelipa 500 kwa dara dara nipazuli 30,000 at least ahsante kwa mchangiaji na mleta mada pia imenisaidia kwa kiasi kikubwa 🙏