MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
- Thread starter
- #21
[emoji1]Kama umezoea Lodge nzuri za 30,000 huku bara jiandae kisaikolojia. Unapewa chumba Kaka store huko Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1]Kama umezoea Lodge nzuri za 30,000 huku bara jiandae kisaikolojia. Unapewa chumba Kaka store huko Zanzibar.
Kwanza ukiwa Kule usiseme Guest, Znz kuna Guest ambazo ni Nyumba tu za kawaida na watu wanashare, Chumba kimoja analala mtu zaidi ya Mmoja. We nenda tu Hoteli.[emoji1][emoji1] Dah!
Inaitwaje mkuuHapo baraste (Mlandege) upande wa pili ndani kidogo ipo super lodge chumba 45000, pia ni nzuri kama Budget ndogo. Ina Ac, Wifi, Hot Bath etc.
Super lodgeInaitwaje mkuu
Mchamba wimaWakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate kauzoefu kabla ya safari.
Karibuni!
Hapo baraste (Mlandege) upande wa pili ndani kidogo ipo super lodge chumba 45000, pia ni nzuri kama Budget ndogo. Ina Ac, Wifi, Hot Bath etc.
Kwanza ukiwa Kule usiseme Guest, Znz kuna Guest ambazo ni Nyumba tu za kawaida na watu wanashare, Chumba kimoja analala mtu zaidi ya Mmoja. We nenda tu Hoteli.
Eneo zuri ambalo Hoteli bei Chini na halipo mbali na Mjini ni hapo Mlandege utazikuta hizo Super lodge Basarte na nyengine nyingi.
Stone town hotel za Hovyo ( za kitalii ) na Bei ndefu.
Zaidi ya elf 25 nyingi ni hotel80k ni hotel au lodge?
Kumbe na hoteli Kuna ku bargain?Zanzibar kuna hotel inaitwa Baraste lodge kagorofa flani hivi, madem zangu wawili nilifika nao hapo kwa nyakati tofauti pale ni pazuri sana sema kwa siku ni 65,000 kuendelea , chumba kikubwa full ac , friji, viatanda viwili ukienda hatanna watoto fresh, choo bafu humo humo , asubuhi unapata breakfast safi
Sema kwa kipindi hichi ukilia nao 60 hadi 65 unapata chumba cha gorofani safii tu full ac