Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

Hapo ni pa ovyo mno!!yaani chumba cha 30,000 choo kiko nje!!mi siku hizi nafikia mamba lodge 25,000 chumba ni self contained na ni pa safi kabisa!!Unguja bnana ukienda kichwa kichwa unaweza kukosa pa kulala,tumezoea huku bara kila chocholo ni guest house.
 
Nawachukia watu wote mnaoongelea malipo au manunuzi in terms of dollar. Katika Taifa lako unaptomote currency ya watu wengine?

Au ndo uonekane unajua! Acheni ulimbukeni
 
Unajisikiaje kutoa kisa cha uongo ili tu ufurahishe watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…