MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ndugu huwezi amini kiukweli siipendi Kuiangalia ( Kuitizama ) Yanga SC ikicheza Uwanjani hata Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanajua ila huyu Khalid Aucho ( Fundi ) amenifanya sasa kila akicheza niwe namtizama ili niburudike zaidi.jamaa anaupigaaa..labda wamrogeee
Waambie ni Wapumbavu tena sana tu.Mashabiki wa Simba wanakwambia Aucho hajui mpira na hana namba pale Simba,[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.mfano unamtoa nani pale simba ili acheze huyo. hebu niambie huyo aucho anacheza na timu zipi pinzani ili umsfie. mfano luanga, mkude, mzamiru wanapambana na viungo wa al ahly, mazembe, kaizer. sasa aucho anacheza na viungo wa DTB, FRIENDS RANGERS, KAGERA ALAFU UNASIFU
Endelea tu Kunitafuta na usinilalamikie tu sawa? Pumbavu...!Mkuu anakukuna sehemu gani?
Hujui Mpira, hujacheza Mpira, hujasomea Ukocha, hujui Kuchambua Mpira na huna Jicho la Kutizama uthamani na uwezo alionao Mtu.mfano unamtoa nani pale simba ili acheze huyo. hebu niambie huyo aucho anacheza na timu zipi pinzani ili umsfie. mfano luanga, mkude, mzamiru wanapambana na viungo wa al ahly, mazembe, kaizer. sasa aucho anacheza na viungo wa DTB, FRIENDS RANGERS, KAGERA ALAFU UNASIFU
anacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa Afrika wakiwemo wale viungo wa mabingwa mara nyingi Afrika yaani al ahly na mabingwa wa pili Afrika yaani tp mazembe na bado wapo kimya. aucho amecheza na viungo gani wa maana. mbona swali rahisi sanaNilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
usimsifie anayekimbia angalia na anayemkimbiza. viungo wa simba wamecheza na kuwafunika viungo wa al ahly na tp mazembe, yaani timu bora za afrika.Hujui Mpira, hujacheza Mpira, hujasomea Ukocha, hujui Kuchambua Mpira na huna Jicho la Kutizama uthamani na uwezo alionao Mtu...
Ndugu ukikutana na mwana Simba SC anayekataa kuwa Khalid Aucho ni Mchezaji Mahiri na hakuna wa Kumfananisha nae kwa sasa ndani ya Simba SC mtandike Kibao cha maana Nyagoni ( Usoni ) Kwake kisha mwambie Pumbavu kwa Niaba yangu.Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
unakabana na viungo ambao hata mshahara hawapati alafu unasifia.Hujui Mpira, hujacheza Mpira, hujasomea Ukocha, hujui Kuchambua Mpira na huna Jicho la Kutizama uthamani na uwezo alionao Mtu...
Wewe unajua aucho mpaka anakuja Yanga alitokea timu gani? Huko alikokuwa unadhan ahajakutana na hao viungo.anacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa afrika wakiwemo wale viungo wa mabingwa mara nyingi afrika yaani al ahly na mabingwa wa pili afrika yaani tp mazembe na bado wapo kimya. aucho amecheza na viungo gani wa maana. mbona swali rahisi sana
Acheni ujuha. mbamsifu mtu kwa kucheza na friends rangers.Ndugu ukikutana na mwana Simba SC anayekataa kuwa Khalid Aucho ni Mchezaji Mahiri na hakuna wa Kumfananisha nae kwa sasa ndani ya Simba SC mtandike Kibao...
Simba SC Kumkosa Fundi Khalid Aucho Kikosini Kwetu tumethibitisha jinsi gani hatuna Akili.anacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa afrika wakiwemo ...
Hao wanaolipwa mishahara si ndo haohao walikuwepo ngao ya jamii mpaka wakala red card baada ya kuvishwa kanzu na mtoto mdogo au wapi unawasemea.unakabana na viungo ambao hata mshahara hawapati alafu unasifia.