Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Aucho hana maajabu ya kufanya uwashushe thamani kina chama Bwalya, Mkude, Muzamiru.

We utakua mgeni na yanga umesahau sarpong alianzaje pale yanga, umesahau ujiko aliopewa kalinyo na mikwara ya kumtoa kimchezo opponent kabla ya mechi
 
Ndugu ukikutana na mwana Simba SC anayekataa kuwa Khalid Aucho ni Mchezaji Mahiri na hakuna wa Kumfananisha nae kwa sasa ndani ya Simba SC mtandike Kibao cha maana Nyagoni ( Usoni ) Kwake kisha mwambie Pumbavu kwa Niaba yangu.

Ukiona Mimi namkubali Mtu jua anajua.
Acha uongo, hata wamna yanga saizi ukiwauliza mchezaji wao mzuri ni yupi wanamtaja feisal
 
Wewe unajua aucho mpaka anakuja Yanga alitokea timu gani? Huko alikokuwa unadhan ahajakutana na hao viungo Bora unaowasema au unaropoka Kwa mechi alizocheza hapa bongo Tu. Au unadhan aucho alikuwa Uganda Hana timu kama okwi.
Mpaka timu ya Taifa inamuamini na lwanga wako Hana nafasi kwake unadhan wàganda hawajielewi we makolo muli bwanji.....
timu zilizoingia robo fainali caf zinajulikana, tuambie alikuwa timu gani. au unataka kusema alikuwa ulaya daraja la 4. mnasifia mapema mno. huwezi kuona mchezaji akicheza na kagera au rangers ukamsifia. luanga alisifika kuwa bora pale tu alipoanza kuwafunika viungo mahiri wa club kubwa afrika
 
Hakuwepo na kwa Uchezaji wake huu ( ule ) angekuwepo nina uhakika angekuwa Msaada mkubwa kwa Yanga SC na huenda isingeishia hapo ( pale ) ilipoishia.
ngoja tutamuona
 
Hao wanaolipwa mishahara si ndo haohao walikuwepo ngao ya jamii mpaka wakala red card baada ya kuvishwa kanzu na mtoto mdogo au wapi unawasemea.
KwAN Auacho unajua katokea timu gani na huko alikokuwa unadhan alikuwa anakutana na viungo gani mpaka timu ya Taifa ikamuamini kuliko lwanga.
Ndugu msamehe tu huyo Mwana Simba SC Mwenzangu kwa Ujuha ( Upumbavu ) wake huo na ongea ( bishana ) na Sisi akina Mightier ambao hatuna Unafiki na tunaongelea zaidi Mpira na Ufundi wake.

Yanga SC kwa Khalid Aucho mmepatia.
 
Simba SC Kumkosa Fundi Khalid Aucho Kikosini Kwetu tumethibitisha jinsi gani hatuna Akili.

Unahangaika Kumsajili Kanoute wakati unae anayefanana nae Ndemla au Mkude huku ukiacha ( tena kwa Ubahili ) Mchezaji Mahiri na Fundi Khalid Aucho kwanini tusiitwe Wapumbavu?
mimi sijauona ufundi wake bado. huwezi kuwa fundi kwa kuwafunika viungo wa kagera. na hapo hapo kipindi cha 2 chote alipotea. simba hawasajili kimihemko
 
Aucho hana maajabu ya kufanya uwashushe thamani kina chama Bwalya, Mkude, Muzamiru.

We utakua mgeni na yanga umesahau sarpong alianzaje pale yanga, umesahau ujiko aliopewa kalinyo na mikwara ya kumtoa kimchezo opponent kabla ya mechi
Swine.
 
timu zilizoingia robo fainali caf zinajulikana, tuambie alikuwa timu gani. au unataka kusema alikuwa ulaya daraja la 4. mnasifia mapema mno. huwezi kuona mchezaji akicheza na kagera au rangers ukamsifia. luanga alisifika kuwa bora pale tu alipoanza kuwafunika viungo mahiri wa club kubwa afrika
Kumbe hizo timu nne ndo Bora kabisa na zenye wachezaji Bora kabisa nje ya hizo hamna mchezaji wa kuwazdi hao eti. Vp timu ya Taifa lwanga na aucho ni Nani ana nafasi? Kwahiyo kama ni takwimu ndo zinaongea mpaka sasa toka ngao ya jamii na ligi kuanza mpk sasa kitakwimu Kati ya aucho na lwanga Nani Bora?
Usiniketee history hapa za club bingwa kama ni Mambo ya history Yanga ni Bora kuliko simba
 
Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwangana hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho.

Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu Picha nae hata kama akiwa amevalia Jezi za Yanga SC sitojali.

Ana kila Kitu ambacho Kiungo makini na wa Kimataifa anatakiwa awe nacho na si hawa Wengine ambao Sifa yao Kubwa ni Kucheza tu Mirafu ya Kipumbavu na kupatapata Mikadi tu ya Njano na Nyekundu.

Shikamoo Khalid Aucho unanikuna sana.

Hatimaye Mightier kapata mtu wa kumkuna. Aucho endelea kumkuna Mightier mpaka haamie Yanga kama alivyohama Manara.
 
Back
Top Bottom