Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
Classic player ukimfananisha na nani?
 
usimsifie anayekimbia angalia na anayemkimbiza. viungo wa simba wamecheza na kuwafunika viungo wa al ahly na tp mazembe, yaani timu bora za afrika.aucho anakabana na viungo wa kagera na friends rangers ambao hata mishahara hawapati unakuja kuongea upupu hapa

Yaani mechi ya juzi na TP Mazembe? Yaani viungo wa simba waliwafunika viungo wa TP Mazembe? 😀 😀 😀

 
Msimamo wako kwa sarpong unabaki vile vile maana nae ulimsifia kwamba ni bonge la striker alipocheza mechi ya kwanza tu.
 
mfano unamtoa nani pale simba ili acheze huyo. hebu niambie huyo aucho anacheza na timu zipi pinzani ili umsfie. mfano luanga, mkude, mzamiru wanapambana na viungo wa al ahly, mazembe, kaizer. sasa aucho anacheza na viungo wa DTB, FRIENDS RANGERS, KAGERA ALAFU UNASIFU
Mzamily, mkude, luanga ulivyo wataja kama mtu awajui atahisi majamaa yanakipiga sana sasa ayaone uwanjani nguvu mingi akili ndogo.
 
Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwangana hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho.

Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu Picha nae hata kama akiwa amevalia Jezi za Yanga SC sitojali.

Ana kila Kitu ambacho Kiungo makini na wa Kimataifa anatakiwa awe nacho na si hawa Wengine ambao Sifa yao Kubwa ni Kucheza tu Mirafu ya Kipumbavu na kupatapata Mikadi tu ya Njano na Nyekundu.

Shikamoo Khalid Aucho unanikuna sana.
Kikubwa ninachokupendea muda mwingine unakua mkweli
 
Simba watampanga Mkude - kaacha yale mambo atakuwa fiti sio muda mrefu.
 
Mna mchezaji gani mwenye kumfikia uwezo Feisal?
Mna mchezaji gani mwenye kumfikia uwezo Aucho?
yanga ishapata muunganiko au bado? jibu kwanza. feisal tangu ajiunge na yanga hajabeba kombe zaidi ya ubao
 
Back
Top Bottom