Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Aston Villa alikuwa kwenye viwango gani vya soka Ulaya wakati Jack Grealish alipokuwa hapo, hadi City wanalazimika kuvunja benki ili kumng'oa?!
Huyo ni kinda kabisa katoka timu ndogo kwenda timu kubwa so hoja yako imekufa kibudu tu
Kama Aucho ana ubora unaoutaja asingekwenda Yanga angekwenda timu kubwa Africa hii na hata Ulaya kiulaini tu
 
Huyo ni kinda kabisa katoka timu ndogo kwenda timu kubwa so hoja yako imekufa kibudu tu
Kama Aucho ana ubora unaoutaja asingekwenda Yanga angekwenda timu kubwa Africa hii na hata Ulaya kiulaini tu
Kwahiyo wakati anacheza pale Aston Villa, hao Aston walikuwa wakubwa kuliko City?! Au unataka kusema wakati huo hakuwa na viwango vya kuchezea timu kubwa?!

Btw, hao akina Bwalya, Mugalu, Kagere, Lwanga, Kapombe mnavyowaona wana huo uwezo wa kucheza hizo timu kubwa?
 
Duh kumbe tunabishana na Bashite hapa
Si huyu hapa aucho ebu jionee mwenyewe hapa, hata kocha mwenyewe hakuridhika na kiwango cha jamaa mpaka kumtema kabisa asiwepo hata bench

Katika mechi kumi kacheza mechi tatu tu, hizo mechi saba hata bench hakuwepo.

Haya angalia hizo mechi tatu alizocheza, hana assist, hana goal, ana yellow card moja


Haya muangalie record zake kwenye premium league, kutoka 2013 (kabla hata manara hajaajiliwa aimba) mpaka 2021 mchizi ana goli 9 tu, sasa hiki kibwengo ni chakukifananisha na chama?

Jamaa hana record ya kufunga goli kwenye club bingwa afu mandezi wa humu wanasema eti angekuwepo kwenye mechi ya rivers angefunga, angefunga nini? kwa kiwango gani? mnautani labda angefunga ramadhani au kwaresma

Hizi hapa ni record za chama ambaye huyo marieta aliyeanzisha huu uzi kama disqualify



Chama ana magoli 12 ya club bingwa, hapa hata ukichukua squad yote ya yanga wachange magoli ambayo walishawahi kufunga kwenye mashindano ya club bingwa hawamfikii chama
 
Alikujibu unitag mkuu
 
Alikujibu unitag mkuu
Hakuna kiungo yoyote wa chini kwa apa Tanzania si Kwasasa Ila kwa miaka ya hivi karibuni anaye mkaribia Aucho.
Jamaa ana nguvu lakini anacheza kwa akili sana mtu wa mwisho katika mpira wa bongo ambaye kwa akili na Kasi ana mzidi Aucho ni marehemu Method Mogela Ila kwenye nguvu ata method anazidiwa.

Achana na akina chuji au Matola jamaa anawazidi sana. Uyo Thadeo Lwanga kwenye timu ya taifa ana sugua kwa Aucho. Sipati picha Aucho na Mukoko wakicheza pamoja kitatokea Nini. Mkude ata katika viungo Bora kumi wa chini walio wahi kutokea Simba hawezi kuwemo.
 
Jibu swali wewe! Ina maana kwavile hawajawahi kucheza robo fainali, ndo hawawezi kucheza na akina Al Ahyl wakato wote wanacheza kwenye ligi hiyo hiyo?!
hawawezi, kipimo cha kuwa mzusri lazima ucheze na machampiono
 
wew unamrate mchezaji kwa mechi ya simba bas
 
Lazima muwe wapumbavu popoma
 
unatupotezea muda kubishana na jinga kama wewe.
Unajua aucho alikuwa anacheza wapi before?
 
Namfananisha na Sergio Busquets wa zaman, hakamii mpira anatumia akili na mtulivu mno. Uyu jamaa na Bangala ni viungo haswa.
Yule bangala usajili wake mikia walitaka kuuingilia,tukawatoa kwenye reli tukajifanya tunamtaka inonga,basi fasta na wao wakamuwahi inonga,tukawaingiza cha kike
 
Weka rekodi za chama wakati anatoka egypty anakuja hapo mkiani free agent uone aibu yako,aucho egypty aliingia kwenye mgogoro na timu,so muda mwingi alikua kwao uganda huku akifanya taratibu za kuvunja mkataba
 
Weka rekodi za chama wakati anatoka egypty anakuja hapo mkiani free agent uone aibu yako,aucho egypty aliingia kwenye mgogoro na timu,so muda mwingi alikua kwao uganda huku akifanya taratibu za kuvunja mkataba
Unazungumzia aucho egypt kua alikua kwenye mgogoro kua ndio sababu ya kutokuwekwa hata kwenye squad as if kwamba angekuwepo angeleta impact, wakati katika hizo mechi tatu alizocheza na timu yake ya taifa kwa dakika zote 90 hakuna goli wala assist aliyopata zaidi ya yellow card?

Yani kutoka 2013-2021 mshkaji ana assit 2, halafu bado mnamuita mchezaji si utani huu?
 
Basi mkuu,tufanye Aucho ni Jr Lokosa.
 
Pole sana

Naona unamlinganisha Defensive midfielder na Attacking midfielder kwa kigezo cha assist na magoli.

Hivi unajua hata position wanazocheza uwanjani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…