Si huyu hapa aucho ebu jionee mwenyewe hapa, hata kocha mwenyewe hakuridhika na kiwango cha jamaa mpaka kumtema kabisa asiwepo hata bench
Katika mechi kumi kacheza mechi tatu tu, hizo mechi saba hata bench hakuwepo.
Haya angalia hizo mechi tatu alizocheza, hana assist, hana goal, ana yellow card moja
View attachment 1958494
Haya muangalie record zake kwenye premium league, kutoka 2013 (kabla hata manara hajaajiliwa aimba) mpaka 2021 mchizi ana goli 9 tu, sasa hiki kibwengo ni chakukifananisha na chama?
Jamaa hana record ya kufunga goli kwenye club bingwa afu mandezi wa humu wanasema eti angekuwepo kwenye mechi ya rivers angefunga, angefunga nini? kwa kiwango gani? mnautani labda angefunga ramadhani au kwaresma
Hizi hapa ni record za chama ambaye huyo marieta aliyeanzisha huu uzi kama disqualify
View attachment 1958510
Chama ana magoli 12 ya club bingwa, hapa hata ukichukua squad yote ya yanga wachange magoli ambayo walishawahi kufunga kwenye mashindano ya club bingwa hawamfikii chama