Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Anafaa kuwa Mume kwako na watu ambao mna tamaduni zinazofanana na sio kuwa Mme wa kila mtu"Wali Nazi" najua umemaanisha Shoga (msenge). Je nikuulize msenge anayeweza kuchukua na kutimiza majukumu yote ya u mume na u baba, hafai kuwa mume?
Note: Utakvyokua unajibu hakikisha umeelewa hili swali kwa ufasaha.
Wanaotakiwa kujibu ni wale wenye upeo na ufahamu mkubwa, sio wee kilazaa.Anafaa kuwa Mume kwako na watu ambao mna tamaduni zinazofanana na sio kuwa Mme wa kila mtu
Mjukuu labda tu kama huelewi dhima na dhana ya mtu kuitwa mwanaume, mme au baba!"Wali Nazi" najua umemaanisha Shoga (msenge). Je nikuulize msenge anayeweza kuchukua na kutimiza majukumu yote ya u mume na u baba, hafai kuwa mume?
Note: Utakvyokua unajibu hakikisha umeelewa hili swali kwa ufasaha.
"Wali Nazi" najua umemaanisha Shoga (msenge). Je nikuulize msenge anayeweza kuchukua na kutimiza majukumu yote ya u mume na u baba, hafai kuwa mume?
Note: Utakvyokua unajibu hakikisha umeelewa hili swali kwa ufasaha.
Ina maana katika mada nzima ndo umeona hili TU? King Kong III umemuona kijana wako alivyo mchokozi?"Wali Nazi" najua umemaanisha Shoga (msenge). Je nikuulize msenge anayeweza kuchukua na kutimiza majukumu yote ya u mume na u baba, hafai kuwa mume?
Note: Utakvyokua unajibu hakikisha umeelewa hili swali kwa ufasaha.
Pia kuna wanawake wanataka ndoa ikiwa hawawezi kuishi katika ndoa mwanamke mbishi ana mkosoa mwanaume ovyo mbele za watu haiba ile ya kike now wanayo wanawake wachache sana
Nastick ktk para ya mwisho, kuna vitu ulivitaja pale juu na ukasema akiwa navyo bas ame qualify.Tafsiri sahihi ya baba ni ile masculinity ,father hood and responsibilities.
-Uanaume
-Ubaba
-Majukumu
Ikiwa shoga anaweza akawa na Masculinity , Fatherhood , and responsibilities anaweza akawa ame -qualify
Ila katika kila sehemu mahitaji ,na tamaduni zipo tofauti .
Mfano mwanamke wa kiswahili ambaye Ana -chase ndoa ili awe secured nikimaanisha apate uhakika wa kula , kulala n.k anaweza sio tu kuolewa na shoga Ila anaweza kuolewa na lesbians .
Ila the real woman ambaye anatambua kuwa marriage is Covenant , she can't married na Gay kwakuwa the real woman hatafuti Sex , and life assurance Ila anatafuta Mambo Kama hayo kuwa na Mwanaume ambaye Ana sifa ya uanaume .
😂😂😂😂 jamanii nauliza, nipate kujuzwa.Ina maana katika mada nzima ndo umeona hili TU? King Kong III umemuona kijana wako alivyo mchokozi?
Nastick ktk para ya mwisho, kuna vitu ulivitaja pale juu na ukasema akiwa navyo bas ame qualify.
Huku mwishoni unasema Real Woman hatafuti sex & life assurance, anatafuta mambo ya kumfanya awe mwanaume tyuuh. Nafikiri ungeeleza hayo mambo ni yapii ili tujadili sasa kiundani.
Na umeingizia hapo Tamaduni pia, hivi umesoma andiko la Mshana lakini? Ndo maana nikaja na hilo swali, umejitahidi kujibu ila bado hujafikia jibu husika la swali.
Em jaribu kujibu tena, huenda kuna kitu umesahau. 😂😂😂😂😂
HAFAI mama for billion reasons"Wali Nazi" najua umemaanisha Shoga (msenge). Je nikuulize msenge anayeweza kuchukua na kutimiza majukumu yote ya u mume na u baba, hafai kuwa mume?
Note: Utakvyokua unajibu hakikisha umeelewa hili swali kwa ufasaha.
Mwanaume, ni mtu mwenye jinsi ya kiume, haijalishi hata awe khanithi bado ni mwanaume. Regardless of maumbile.Mjukuu labda tu kama huelewi dhima na dhana ya mtu kuitwa mwanaume, mme au baba!
Mungu aliumba mtu mke na mtu mume! Kwenye ndoa na mahusiano anayeingiliwa ni mwanamke na si kinyume chake
Baba shoga hata kama anatimiza majukumu yake kifamilia bado hiyo ni laana na tatizo kubwa...
Natambua wapo wanaoishi hayo maisha kwa siri kubwa lakini si jambo lenye afya kifamilia
Baba shoga unadhani atawakuza wanae katika maadili gani?
Ndio hizo Bill of Reasons nazihitaji hapa.HAFAI mama for billion reasons
Sasa unatakiwa ueleze wee hapa ni kwanini msenge hawezi kuwa hizo sifa ulizozitaja. Ili na mie nianze kukujibu kwa ufasaha zaidi.Simple mathematics IPO hivi
Angalia sifa za Mwanaume kuwa na uanaume Kama
Masculinity
Fatherhood
Responsibilities
shoga au Gay hawezi kuwa na hizo sifa tatu zote kwahiyo ikiwa ataoa lazima ataoa weakest woman ambaye she will be there to securing her life in the name of marriage.
Umeanza lini kukataa ndoa kaa tayari bibi harusi nakungojea hapaMimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, nina waomba mtulie kidogo andiko la kiutu uzima hili.
Kabisa.Umenena vyema Kaka mkubwa,tukiwaambia Sisi hawatuelewi,jamii inawa presharaizi Sana,ndoa ni muhimu kwa ustawi wa jamii,lakini Sio Kila kitu kwenye haya maisha!!!