Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Hivi hakuna watu wanaokaa utende halaf ofisi zao za kazi zipo chole juani au jibondo?? Je wanatumia usafiri gani kwenda makazini kwao
Huyo jamaa Ni Mgombe
 
Nimewahi kufika huko japo nilikaa sikumoja tu cos nilienda kibiashara!

Mafia ni Wilaya lakini haijachangamka, Ukiacha Kilindoni ambapo ndo mjini kwao ambayo kwa Dar sawa na Chanika tu, Shule zipo but Local mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa ya wakazi wa kule hawajasoma zaidi ya kwenda madrasat tu, hivyo kama una watoto ama huyo mdogo wako ana Watoto na anataka wasome basi awaache huko huko anakosihi aende Mafia yeye tu peke yake.
Haaa kwa hiyo watoto wa uk ni vipaza
 
Shule ipo ya msingi, mawasiliano yapo
Mpaka mm natoka hapo jibondo zahanati ilikuwa hmna Sijui sahvi
Mimi jibondo nimekaa
We kama unaenda nenda kafanye kazi zako, fata kilichokupeleka tu

Ova
Imeisha iyo, na lazima uwe muislamu? Na kwenye Ramadhani wakristo wa uko wanaishije
 
Mwambie usafiri siku hzi kutoka nyamisati hadi mafia wanatoaka alasiri huko mafia watafika saa 12 au saa moja asisahau kitambulisho kitakachomtambulisha yeye ni mtanzania
Hivi sasahivi nasikia meli kila siku? Maana niliendaga mwaka 2020 meli ilikuwa juma 3, juma5 na ijumaa tu ila kabla ya serikali kuanza kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ni hatari,,, Basi hii sehemu sio nzuri ya kwa raia wangeni kuishi, na kwa mkristu ataishije
 
Mbona watu wengine wananitisha eti Kama ni mgeni huwezi kuishi
 
Nimewahi kufika huko japo nilikaa sikumoja tu cos nilienda kibiashara!

Mafia ni Wilaya lakini haijachangamka, Ukiacha Kilindoni ambapo ndo mjini kwao ambayo kwa Dar sawa na Chanika tu, Shule zipo but Local mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo kuishi uko hakuna shida?
 
Ndege ya kukodi au bombadier?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama zipi?,

Uko ndani ndani Jibondo huduma Kama shule, hospital,Bank ,masoko zipo?
ameajiliwa kama afisa mashamba? maana kama angekuwa mwalimu au mtumishi wa afya usingeuliza hayo maswali? kisiwa cha mafia ni kidogo kina fikika kila konaa... ndege zipo... watalii wa kumwaga... kisiwa kizuri sanaaaaaaa...

www.mafiadc.go.tz
 
This is very irrelevant. Wewe ndiye unatakiwa ukadai ada yako.
 
Hivyo vipo bali udini uswahili na majungu pia vipo sana
hakuna sehemu hakuna hayo mambo... nimezunguka mikoa yote Tz na wilaya kibao, kuanzia pwani yote na visiwa vyake mpaka bara huko... ubaguzi upo na udini upo...

watu hawa oani kisa dini tofauti, lakini mzungu mnaoana na dini yako utabaki nayo... zenji, tanga, mpaka mtwara wazungu wameoa na kuolewa na wakazi waislamu bila kubadili dini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…