Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Vyombo vya muziki vya enzi za akina Daudi sio microphone 🎤.Wewe ndiye hujakomaa,hujui vyombo vya mziki na hizo anasa zipo toka enzi za kina Daudi,nikupe pole Yesu amekuja juzi ameikuta dunia inahayo yote unayoyasema, lakini sababu yeye ni Mtume wa mwenyezi Mungu hakujishughulisha nayo
Quruani imeteremshwa na Mwenyezi Mungu kupitia Jibril mmoja wapo wa Malaika wakubwa wenye heshima kubwa huko mbinguni.Quruani iliteremka kwa njia ya Wahyi au ufunuo katika muda wa miaka 23 wakati wa utume wa mtume Muhamad (S.A.W)
Thibitisha haya unayoyasema.Kifupi kabisa ni kwamba, Uislamu haujakanilika!
Ni imani pekee Duniani ambayo inategemea imani nyingine ili ikamilike.
Bora hata wabaoabudu Ng'ombe hawahitaji dini nyingine kujikamilisha.
Uislamu haupo bila kujihalalisha kwa Ukristo
Mi kusilimishwa labda niwe nimekufa...na hiyo maiti mtaisilimisha kwa mbinde saaaana, hapa unguja ndo nimegundua kwamba uislam ni dini la kipumbavu sanaNa mimi pia nipo unguja huenda nikakusilimisha na ww mbona kma hawaingii kwenye ukristo kma ni dini ya kweli? dini ya mazumbukuku ni yenu mnomuabudu mtu tena kama wewe
Hiki ulichokiandika hapa chini kimedhihirisha huruma unatakiwa kujionea wewe ambae ndiyo mtupu. Nakuonyesha ulivyokuwa huna maarifa juu ya jambo hili.Mkuu nakuheshimu,Ila nakuonea huruma jinsi ulivyo mtupu kichwani
Naomba unitofautishie kati ya Mila na desturi.Tatizo mnachanganya vitu viwili yaani mila na desturi na hicho unachokiita dini
Angezaliwa Ngorongoro asinge vaa mashuka angevaa kanzu, sababu hilo ni vazi la kisheria na la stara na mitume wote wamevaa hivyo, kama ilivyo kwenye ndevu, labda kama uwe hujajaaliwa ndevu hapo utakuwa uhusiki.Ina maana kama Yesu,Masihi angezaliwa Ngorongoro wote sahizi tuvae mashuka,masime viunoni huku wanawake wamejaza mzigo wa shanga shingoni
Na kichwani upara Dunia nzima.
Nani amekwambia kujilipua ni katika Dini au Dini gani inafundisha kujilipua ? Au kujilipua ni ishara ya mapenzi ya dhati ya Dini ?Halafu kama wewe unaipenda Dini yako mbona hujajilipua mpaka muda huu
Hapa wewe ndiyo unadhihirisha upuuzi kwa kuandika uongo na mambo usiyo yajua.Wenzio saizi Wana baruti na mabomu mfukoni stand by kwaajili ya Allah ,we upo na Tecno yako unakuja na hoja za kipuuzi
Haya ni malipo miongoni mwa malipo ya waja wema.Au hutaki mabikira sabini
hua hatulazimishi mtu kusilimu bali tunamlingania akikataa basiMi kusilimishwa labda niwe nimekufa...na hiyo maiti mtaisilimisha kwa mbinde saaaana, hapa unguja ndo nimegundua kwamba uislam ni dini la kipumbavu sana
ila wakristo kwa propaganda nimewavulia kofiahua hatulazimishi mtu kusilimu bali tunamlingania akikataa basi
kwaio ata ww huenda Allah akakupa moyo mwepesi ukaja ukasilimu baadae
kwasababu dini yao ni ya ubabaishaji hawana hoja madhubutiila wakristo kwa propaganda nimewavulia kofia
PoleeThibitisha haya unayoyasema.
Wewe ndio nikupe pole, maana huwezi kuthibitisha uwongo wako uliouandika hapa.Polee
Ndiyo,kwani nikuulize Yesu aliwahi kula nyama ya nguruweMwisho wa siku utakuja na hoja ya alitumia lugha gani na chakula gani? Hahahaha! Kwa Bwana Yesu Kristo aliyesulubishwa, akafa, akazikwa, siku ya tatu akafufuka , akapaa mbinguni kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri hata kwa kuchelewa.
Kwani microphone ni kisemeo au chombo cha mziki?Vyombo vya muziki vya enzi za akina Daudi sio microphone 🎤.
Sawa Yesu alikuja alikuta na magari na kompyuta zipo dada mkubwa.
Una maswali ya kindergartenNdiyo,kwani nikuulize Yesu aliwahi kula nyama ya nguruwe
Kwani microphone ni kisemeo au chombo cha mziki?
Mm najua allah ni kava la kisu hayo mengine utajua wewe na mpotoshaji mwenzio mudi mademhua hatulazimishi mtu kusilimu bali tunamlingania akikataa basi
kwaio ata ww huenda Allah akakupa moyo mwepesi ukaja ukasilimu baadae
Muungwana huchutamaMim Sina jibu na sielewi kama ww....Swali lako limekaa kichokozi, kiukakasi....me naona tuachane na hayo tu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sasa ujiulize mwenyewe, kama wewe unayafanya hayo halafu mitume wako hawakufanya huoni kama dhambi?Una maswali ya kindergarten
Na waislam wakikalilishwa aya mbili tatu tu wanakuwa waganga wa kienyeji yaani mawakala halisi wa ibilisikwasababu dini yao ni ya ubabaishaji hawana hoja madhubuti
leo hii mkristo akipigwa na maisha akiamua kufungua kanisa holaaa ameshakua mchungaji yni kila mtu anatafuta tonge kwa ujanja wake tuu ila ni waongo tuu
Pole sana, ukweli wake utaukuta kaburini si mda mrefu,tena utakuwa peke yako kama ulivyozaliwa,siku utakapoulizwa;Mungu wako nani? Dini yako dini gani?Kitabu chako kitabu gani?na Mtume wako nani?kumbuka ulikuwa kiumbe dhahiri hujui lolote lile lakini Mungu kakupa nguvu badala ya kutumia kumuabudu unamdhihaki?Mm najua allah ni kava la kisu hayo mengine utajua wewe na mpotoshaji mwenzio mudi madem
kwanza jiulize nyakati za yesu ilikuwaje na ni dini zipi zilikuwapo ndio jibu utalipata hapoHivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya