Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Nadhani mtoa mada haya maswali inapaswa umuulize Yesu mwenyewe mana ni ya ndani sana!
 
Nina maana kwamba, wakristo hawauhitaji uislam wala chochote kilichoko katika Quran ili wakamilike. Tofauti na waislam
Ndio maana nimeuliza uislamu unachukua nini kwenye ukristo ili kujikamilisha? Maana ukristo unajulikana pamoja na bibli(mkusanyiko wa vitabu) inajulikana.
 
In cae una kichwa kigumu kuelewa, nitajaribu mara ya mwisho. Umesema haukubali Yesu ni Mungu kwa sababu Mungu hawezi kuwa na mwili. Nikasema sawa, twende na logic yako. Allah anasema ana mwili. Ana mikono, ana jicho ana mguu. Na haya hakuongea kama figure of speech wala hakuandika kama mfano kuelezea concept ili wanadamu tuelewe. Aliandika akionesha jinsi alivyo.

Sasa kwa kuwa kwa logic yako Mungu hawezi kuwa na mwili under any circumstance, unamkana Allah? Hili ndilo swali la msingi. LIJIBU!

Kuleta Biblia kama smoke screen haisaidii. Hata kabla ya Yesu, Mungu wa Biblia amejitokeza mara kadhaa katika umbo la mwanadamu. Na pia kuna sehemu nyingi ameongea kwa mifano, na figure of speech. Kwa hiyo kwa Wakristo hilo sio tatizo, ndio maana nikakwambia usipoteze muda kunukuu kitu ambacho kwetu sisi sio tatizo.

Kwa mara nyingine nikukumbuashe tena, kuwa swali ni Allah ana mwili na umesema under any circumstance Mungu hawezi kuwa na mwili. So logical conclusion ni kuwa unamkana Allah kuwa sio mungu wako? Na kama Allah ana mwili na huoni kama ni tatizo, huoni ni unafiki na double standard unapoukataa Uungu wa Yesu kwa sababu hiyo?

Hili ndio swali unalolikimbia. Naomba niulize tena, ili hata kama ni slow catcher ulielewe. Allah ana mwili kwa maana ana jicho, ana mguu na ana mikono kwa uchache. Quran na Hadith zimesema wazi. Wanazuoni wa Kiislam wamesema wazi na nimekuwekea video hapo ujionee!
SWALI: UTAMKANA ALLAH KUWA SIO MUNGU WAKO KWA SABABU ANA MWILI?

Nategemea utajibu badala ya kuruka kama walivyofanya waliokutangulia!
Yesu sio Mungu. Nimekuwekea maandiko rahisi. Kama hautaki endelea na ubishi. Nimekupa mfano wa verse za biblia. Kuhusu mbingu zinatangaza utukufu wa mungu na kijiti kiliongea. Uniambie kama hao pia wana midomo? Usilete ubishi WA kanisani. Yesu sio Mungu. Sababu nyingine hii hapa. Mungu hawezi kujaribiwa na shetani kwa maandiko ya biblia. Kama unaleta ubishi wa kanisani endeleza ligi. Useme hapa huo mwili wa Allah(Mwenyezi Mungu) ukoje na ulete maandiko.
Acha kuabudu picha ya mzungu. Hiyo logic yako utuambie umepata wapi Mungu kuwa na mwili wa kibinadamu hadi kuvuliwa nguo na kupigwa na watu wake? Acha huo ushirikina.

Screenshot_2022-03-13-18-11-10-033_com.google.android.youtube.jpg
 
Ndio maana nimeuliza uislamu unachukua nini kwenye ukristo ili kujikamilisha? Maana ukristo unajulikana.
Nadhani shida ni baadhi (Sina hakika kama ni wote) kulazimisha baadhi ya mambo katika Quran na Hdith yafanane na ya kwenye Biblia. Na kwa sababu mengi hayafanani inabidi waishambulie Biblia au Wakristo ku justify.

Mfano mdogo niliutoa kwenye comment. Kwenye Quran na Hadith hakuna mtu anaitwa Yesu. Sasa kwa kulazimisha Yesu awepo (sijui kwa nini) wamelazimisha nabii wa Allah aitwaye Isa awe Yesu kilazima. Japo mama zao ni tofauti, Babu zao tofauti, walizaliwa sehemu tofauti na maisha na miisho yao ni tofauti.

Ili kulazimisha, wanasema Biblia imebadilishwa, ila hakuna hata mmoja tangu nizaliwe hata leo amewahi kuniambia ilibadilishwa lini na nani. Ukienda kwenye hielografia na historia unakuta Biblia iliyokuwa karne nadhani ya nne, ndiyo hii tuliyo nayo. Na hii ushahidi upo. Which means karne ya saba Biblia iliyokuwepo ni hii ya leo. Sasa ilibadilishwa wapi na nani? Huwa hawajibu.

Pia hakuna hadith wala ayat inayosema Biblia imebadilishwa. Sasa huwa najiuliza mbona wanatumia nguvu nyingi hivi?

Hii kulazimisha lazimisha ndio wengine wanatafsiri kwamba labda Uislam huwezi kusimama bila kulazimisha mambo ya Ukristo!
 
Yesu sio Mungu. Nimekuwekea maandiko rahisi. Kama hautaki endelea na ubishi. Nimekupa mfano wa verse za biblia. Kuhusu mbingu zinatangaza utukufu wa mungu na kijiti kiliongea. Uniambie kama hao pia wana midomo? Usilete ubishi WA kanisani. Yesu sio Mungu. Sababu nyingine hii hapa. Mungu hawezi kujaribiwa na shetani kwa maandiko ya biblia. Kama unaleta ubishi wa kanisani endeleza ligi.
Acha ujinga basi. Yaani pamoja na kurudia swali zaidi ya mara tatu bado hujaelewa? Ni kilaza hivyo hivyo na maeneo mengine au unajifanyisha?
Swali sio Yesu ni Mungu ama la, umeshakataa na ukatoa sababu. Na hizo sababu ndio tunazi apply kwa Allah unaruka ruka tu!

Useme hapa huo mwili wa Allah(Mwenyezi Mungu) ukoje na ulete maandiko.
Acha kuabudu picha ya mzungu. Hiyo logic yako utuambie umepata wapi Mungu kuwa na mwili wa kibinadamu hadi kuvuliwa nguo na kupigwa na watu wake? Acha huo ushirikina.

"Then the Almighty will come to them in a shape other than the one which they saw the first time, and He will say, 'I am your Lord,' and they will say, 'You are not our Lord.' And none will speak: to Him then but the Prophets, and then it will be said to them, 'Do you know any sign by which you can recognize Him?' They will say. 'The Shin,' and so Allah will then uncover His Shin whereupon every believer will prostrate before Him and there will remain those who used to prostrate before Him just for showing off and for gaining good reputation. These people will try to prostrate but their backs will be rigid like one piece of a wood (and they will not be able to prostrate)"
Sahih Bukari 7439

So, Allah have a shin!

"There is never a prophet who has not warned the Ummah of that one-eyed liar; behold he is one-eyed and your Lord is not one-eyed. On his forehead are the letters k f. r. (Kafir)." Sahih Muslim 2933

So Allah have eyes!

"He said: O Iblis! What hindereth thee from falling prostrate before that which I have created with both My hands? Art thou too proud or art thou of the high exalted?" Quran 38:75

Allah have two hands (See Islamic exegesis: Allah’s Two Hands)

Kwa hiyo Allah ana Mikono, Macho na Mguu.

Kwa hiyo kwa vigezo vyako kuwa Mungu hawezi kuwa na mwili, Allah sio Mungu? Hili swali kama huwezi kulijibu kausha tu. Kwa sababu kimsingi umejikaanga! Kukimbilia kwenye Biblia na Yesu ambaye umeshakataa sio Mungu havisaidii. Hapa tuna apply same criteria uliyoitumia kukataa Uungu wa Yesu kwenye uungu wa Alllah.

Nasubiri umkane Mungu wako Allah, mbele ya Umah wa Waislam wa JF!
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
wewe mbona babu yako hakuvaga boxer?
 
Nadhani shida ni baadhi (Sina hakika kama ni wote) kulazimisha baadhi ya mambo katika Quran na Hdith yafanane na ya kwenye Biblia. Na kwa sababu mengi hayafanani inabidi waishambulie Biblia au Wakristo ku justify.

Mfano mdogo niliutoa kwenye comment. Kwenye Quran na Hadith hakuna mtu anaitwa Yesu. Sasa kwa kulazimisha Yesu awepo (sijui kwa nini) wamelazimisha nabii wa Allah aitwaye Isa awe Yesu kilazima. Japo mama zao ni tofauti, Babu zao tofauti, walizaliwa sehemu tofauti na maisha na miisho yao ni tofauti.

Ili kulazimisha, wanasema Biblia imebadilishwa, ila hakuna hata mmoja tangu nizaliwe hata leo amewahi kuniambia ilibadilishwa lini na nani. Ukienda kwenye hielografia na historia unakuta Biblia iliyokuwa karne nadhani ya nne, ndiyo hii tuliyo nayo. Na hii ushahidi upo. Which means karne ya saba Biblia iliyokuwepo ni hii ya leo. Sasa ilibadilishwa wapi na nani? Huwa hawajibu.

Pia hakuna hadith wala ayat inayosema Biblia imebadilishwa. Sasa huwa najiuliza mbona wanatumia nguvu nyingi hivi?

Hii kulazimisha lazimisha ndio wengine wanatafsiri kwamba labda Uislam huwezi kusimama bila kulazimisha mambo ya Ukristo!
Tatizo hapo mkuu ninaloliona ni wakristo kujimilikisha Yesu kwamba hapaswi mwengine kumuelezea tofauti na wanavyomuelezea na kumuamini wao wakristo tu, lengine ni biblia ambayo kimsingi ni mkusanyiko wa vitabu vya manabii tofauti tofauti ila wakristo wamefanya wao ndio wahusika navyo na hivyo waislamu ndio hutumia maandiko ya kitabu chao(mkusanyiko wa vitabu).
 
Tatizo hapo mkuu ninaloliona ni wakristo kujimilikisha Yesu kwamba hapaswi mwengine kumuelezea tofauti na wanavyomuelezea na kumuamini wao wakristo tu,
Sioni tatizo mtu kumuelezea tofauti kama issue sio far fetched. Yaani mtu kumuelezea Yesu kwa vyanzo ambavyo ni sahihi sioni shida awe anakosoa au vinginevyo. Kama kuna mtu ana shida na hilo basi ana tatizo binafsi.
lengine ni biblia ambayo kimsingi ni mkusanyiko wa vitabu vya manabii tofauti tofauti ila wakristo wamefanya wao ndio wahusika navyo na hivyo waislamu ndio hutumia maandiko ya kitabu chao(mkusanyiko wa vitabu).
Again hata Quran ingekuwa na vitabu vya Biblia vyote, bado sioni kama ni tatizo.

Kinachohojiwa ni authenticity ya madai. Kuna Waislam hata humu ambao ukifuatilia wanajaribu kulazimisha mambo. Hat ukimuonesha uhalisia haupo hivyo hataki tu na analazimisha tu.

mfano nimetoa kwenye issue ya Yesu na Isa. Nimeleta mpaka comprehensive difference, ila jamaa anabisha tu bila haa sababu za msingi. Kwani kuna shida gani Muislam akahubiri kuhusu Isa, kama alivyofundishwa kwenye Surat Maryam na mahali pengine bila kulazimisha kuwa huyo ndiye Yesu? Yaani kwa nini mtu asiwe faithful kwenye vitabu vyake bila kulaghai wengine?

Shida yangu ipo hapo. Vinginevyo sina tatizo na mtu kwa kutumia vyanzo authentic kuhoji au kuhusianisha chochote!
 
Acha ujinga basi. Yaani pamoja na kurudia swali zaidi ya mara tatu bado hujaelewa? Ni kilaza hivyo hivyo na maeneo mengine au unajifanyisha?
Swali sio Yesu ni Mungu ama la, umeshakataa na ukatoa sababu. Na hizo sababu ndio tunazi apply kwa Allah unaruka ruka tu!

"Then the Almighty will come to them in a shape other than the one which they saw the first time, and He will say, 'I am your Lord,' and they will say, 'You are not our Lord.' And none will speak: to Him then but the Prophets, and then it will be said to them, 'Do you know any sign by which you can recognize Him?' They will say. 'The Shin,' and so Allah will then uncover His Shin whereupon every believer will prostrate before Him and there will remain those who used to prostrate before Him just for showing off and for gaining good reputation. These people will try to prostrate but their backs will be rigid like one piece of a wood (and they will not be able to prostrate)"
Sahih Bukari 7439

So, Allah have a shin!

"There is never a prophet who has not warned the Ummah of that one-eyed liar; behold he is one-eyed and your Lord is not one-eyed. On his forehead are the letters k f. r. (Kafir)." Sahih Muslim 2933

So Allah have eyes!

"He said: O Iblis! What hindereth thee from falling prostrate before that which I have created with both My hands? Art thou too proud or art thou of the high exalted?" Quran 38:75

Allah have two hands (See Islamic exegesis: Allah’s Two Hands)

Kwa hiyo Allah ana Mikono, Macho na Mguu.

Kwa hiyo kwa vigezo vyako kuwa Mungu hawezi kuwa na mwili, Allah sio Mungu? Hili swali kama huwezi kulijibu kausha tu. Kwa sababu kimsingi umejikaanga! Kukimbilia kwenye Biblia na Yesu ambaye umeshakataa sio Mungu havisaidii. Hapa tuna apply same criteria uliyoitumia kukataa Uungu wa Yesu kwenye uungu wa Alllah.

Nasubiri umkane Mungu wako Allah, mbele ya Umah wa Waislam wa JF!
Nashukuru kwa kuelewa Yesu sio Mungu. Kwanza uelewe kwanza Allah ni kiarabu kwa kingereza ni 'the God' Nikutoe huo ukilaza kwanza. Wayahudi wanamwita jina lingine 'Hashem'.
Usije ukawa jina linakuchanganya.
Nimeshakupa mfano

Je! Huoni kwamba vinamsujudia Mwenyezi Mungu viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi, na jua, na mwezi, na nyota, na milima, na miti, na wanyama, na wengi miongoni mwa watu. Na wengi imewastahiki adhabu. Na anaye fedheheshwa na Mwenyezi Mungu hana wa kumhishimu. Hakika Mwenyezi Mungu hutenda apendayo.
(Qur'an 22:18)

Nakupa mfano hapo milima, jua, mwezi na nyota vimepewa sifa ya kusujudu ambayo ni viumbe hai na haina maana ni maumbo ya kibinadamu.
We akili yako inakutuma Mungu yupo mfano kama wa huyu mzungu matokeo yake mnamuabudu.

images (4).jpeg

Hizo copy n paste unazozinukuu hazihalalishi huyu jamaa kuwa Mungu. Swali ushajibiwa Mwenyezi Mungu hafanani na hata mmoja kwa viumbe vyake alivyoumbwa. Hizo 'human attributes' zinakuchanganya matokeo yake unakuja kukufuru hapa.
Ndiyo maana makanisani wanaibuka watu wanajiita miungu. Kijana Acha kukufuru Mwenyezi Mungu hafanani na kiumbe chake hata mmoja.
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Mwamedi alikua anavaa chupi au hakuvaa chupi,....
 
Sioni tatizo mtu kumuelezea tofauti kama issue sio far fetched. Yaani mtu kumuelezea Yesu kwa vyanzo ambavyo ni sahihi sioni shida awe anakosoa au vinginevyo. Kama kuna mtu ana shida na hilo basi ana tatizo binafsi.

Again hata Quran ingekuwa na vitabu vya Biblia vyote, bado sioni kama ni tatizo.

Kinachohojiwa ni authenticity ya madai. Kuna Waislam hata humu ambao ukifuatilia wanajaribu kulazimisha mambo. Hat ukimuonesha uhalisia haupo hivyo hataki tu na analazimisha tu.

mfano nimetoa kwenye issue ya Yesu na Isa. Nimeleta mpaka comprehensive difference, ila jamaa anabisha tu bila haa sababu za msingi. Kwani kuna shida gani Muislam akahubiri kuhusu Isa, kama alivyofundishwa kwenye Surat Maryam na mahali pengine bila kulazimisha kuwa huyo ndiye Yesu? Yaani kwa nini mtu asiwe faithful kwenye vitabu vyake bila kulaghai wengine?

Shida yangu ipo hapo. Vinginevyo sina tatizo na mtu kwa kutumia vyanzo authentic kuhoji au kuhusianisha chochote!
Jibu rahisi biblia imejaa contradictions na uongo mwingi kuliko ukweli. Kuna mtu duniani ana propaganda kushinda mzungu. Hizi historia za karibuni wametupiga porojo nyingi itakuwa kwenye biblia yenye matoleo mbalimbali

Sijachanganya hata kidogo nadhani ni mtazamo wako! Kama umedanganywa kwamba Yesu atarudi kifala kama alivyokuja imekula kwako!!!! Jiandae kwa mshangao! Maandiko yameweka wazi hatarudi kimasikini kama alivyokuja awali! Atarudi na nguvu, na utukufu, na mamlaka!! Tulimchezea na tumeendelea kumchezea vya kutosha! Ingia makanisani uone yanayoendelea humo!! Ni kinyaa na ni aibu! Endelea kusubiri uone kama atarudi kama mwanzo!!
Sasa sijajua ujumbe wako,yaani ataludi kama tajiri,au kama mfalme au kama nini?
 
Hizi akili hizi,miaka 2000 iliyopita hakukuwa na tekinolojia ya kutengeneza suruali!angevaa ipi?
Leo hii wewe unatumia smartphone,kipindi hicho hakukuwa na smartphone,kwahiyo wewe sio muumin kama wao wa kipindi hicho!
Kuvaa kanzu,kutawaza,kusujudu,kuimba kwaya hayo yote,ni mambo ya kimwili zaidi,hayaonyeshi status ya roho yako,ambayo Mungu anaitaka,
Kwa hiyo kama ataludi leo atakuja amevaa suti sababu ya teknolojia?
 
Sasa sijajua ujumbe wako,yaani ataludi kama tajiri,au kama mfalme au kama nini?
Vyote ulivyovitaja na usivyovitaja vinavyodhihirisha nguvu, uwezo, uweza na mamlaka!

Ndiyo, atarudi kama tajiri, ndiyo atarudi kama mfalme! Ndiyo atarudi kama hakimu! Ndiyo atarudi kama mmiliki! Ndiyo, atarudi kama.....! You name it! Ilimradi tu vidhihirishe nguvu, mamlaka, uweza....
 
Sioni tatizo mtu kumuelezea tofauti kama issue sio far fetched. Yaani mtu kumuelezea Yesu kwa vyanzo ambavyo ni sahihi sioni shida awe anakosoa au vinginevyo. Kama kuna mtu ana shida na hilo basi ana tatizo binafsi.

Again hata Quran ingekuwa na vitabu vya Biblia vyote, bado sioni kama ni tatizo.

Kinachohojiwa ni authenticity ya madai. Kuna Waislam hata humu ambao ukifuatilia wanajaribu kulazimisha mambo. Hat ukimuonesha uhalisia haupo hivyo hataki tu na analazimisha tu.

mfano nimetoa kwenye issue ya Yesu na Isa. Nimeleta mpaka comprehensive difference, ila jamaa anabisha tu bila haa sababu za msingi. Kwani kuna shida gani Muislam akahubiri kuhusu Isa, kama alivyofundishwa kwenye Surat Maryam na mahali pengine bila kulazimisha kuwa huyo ndiye Yesu? Yaani kwa nini mtu asiwe faithful kwenye vitabu vyake bila kulaghai wengine?

Shida yangu ipo hapo. Vinginevyo sina tatizo na mtu kwa kutumia vyanzo authentic kuhoji au kuhusianisha chochote!
Bado mkuu unafanya kilekile nachokisema, hautaki huyo unayemtambua wewe kama Yesu kuambiwa kuwa ndio huyo huyo anayekusudiwa kwa waislamu kwa kutambulika kama Isa. Ila wewe mkuu ulitaka huyo anayeelezwa kwenye Qur'an awe vilevile kama alivyoelezwa kwenye biblia ili ndio ukubali kwamba Isa anayezungumziwa kwenye Qur'an ndio huyo huyo anayekusudiwa kwenye Biblia kama Yesu.
 
Bado mkuu unafanya kilekile nachokisema, hautaki huyo unayemtambua wewe kama Yesu kuambiwa kuwa ndio huyo huyo anayekusudiwa kwa waislamu kwa kutambulika kama Isa.
Uliisoma comment yangu inayotofautisha Isa siyo Yesu?
Kama hukuisoma, kaisome tena uniambie Isa anakuwaje Yesu.
Ukiweza kujenga hoja kuwa Isa ni Yesu sina neno kabisa.

Ila wewe mkuu ulitaka huyo anayeelezwa kwenye Qur'an awe vilevile kama alivyoelezwa kwenye biblia ili ndio ukubali kwamba Isa anayezungumziwa kwenye Qur'an ndio huyo huyo anayekusudiwa kwenye Biblia kama Yesu.
Shida siyo hiyo. Unaamini mtu anaweza kuzaliwa na mama wawili tofauti akawa bado mtu yuleyule?
 
Back
Top Bottom