Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
uisilamuso yesu alihubiri ukristo?
[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uisilamuso yesu alihubiri ukristo?
[emoji848][emoji848]
Ukweli ni nini?Lakini ukisoma kitabu chake hakina makandokando kinaeleza ukweli mtupu
Kipimo cha ukweli ni Kipi?Kwahiyo point ni kutangulia kusema ndio huhesabika kuwa ni yaliyosemwa ni ya ukweli?
Hahahaaaa wewe jamaa bhanaYes alifanya yote wanayofanya wavaa makobazi wa sasa na alikuwa na kikundi chake cha kigaidi chenye wafuasi 12 wakieneza chuki na vitendo vya kigaidi mjini Yerusalemu na Kapenaumu. Na mwisho alinijitoa muhanga pale msalabani kama wanavyojitoa muhanga wavaa makobazi wa leo
Vipi umeridhika au?
Ila hili la mabikira 70 na mito ya k vant ni utambulisho kabisa kuwa hii Imani ni ya Lucifer kabisaMkuu nakuheshimu,Ila nakuonea huruma jinsi ulivyo mtupu kichwani.
Tatizo mnachanganya vitu viwili yaani mila na desturi na hicho unachokiita dini
Ina maana kama Yesu,Masihi angezaliwa Ngorongoro wote sahizi tuvae mashuka,masime viunoni huku wanawake wamejaza mzigo wa shanga shingoni
Na kichwani upara Dunia nzima.
Halafu kama wewe unaipenda Dini yako mbona hujajilipua mpaka muda huu
Wenzio saizi Wana baruti na mabomu mfukoni stand by kwaajili ya Allah ,we upo na Tecno yako unakuja na hoja za kipuuzi
Au hutaki mabikira sabini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sheikh Ponda anasema wakristo hawavai kanzu wanavaa magauniDepends na kanzu gani....hata wakristo kwenye ibada zao huvaa kanzu
Nimeuliza swali kumbuka hilo.Kipimo cha ukweli ni Kipi?
Katika fani ya historia tuna vigezo kadhaa vya kupima ukweli wa matukio yaliyotokea zamani kisha yakabahatika kuandikwa.
Narudi kwako kipimo chako cha ukweli wa matukio ya miaka 2000 iliyopita ni kipi?
Shughulisha akili Huoni jibu hapo...Aina ya jibu ambalo ni Swali pia.Nimeuliza swali kumbuka hilo.
Sawa ila una ushahidi gani kwa wanaosema Yesu hajawahi kuwepo alitungwa tu kwenye vitabu vya dini?Shughulisha akili Huoni jibu hapo...Aina ya jibu ambalo ni Swali pia.
Nafikiri husomi kwa makini...Baada ya kujibu hoja yako hujaona swali langu?Sawa ila una ushahidi gani kwa wanaosema Yesu hajawahi kuwepo alitungwa tu kwenye vitabu vya dini?
Hebu thibitisha kwamba kweli huyo anayeitwa Yesu alikuwepo.
Kweni umeona mimi nafuata ya wanadamu? Mimi nina imani yangu na pia ninaheshimu imani za wengine maana najua wazi, naweza jiona Niko sawa lakini kumbe sivyo, hata wewe hapo unaweza jiona imani yako uko sawa lakini kumbe pumba tu, na nililiona hilo kwa namna ulivyoongea, we amini ya kwamba imani yako ni nzuri na ya haki kwako, Kwa mwingine ni pumba tu, hata mimi hapa nakuona ni pumba kabisaPole sana ndugu yangu na mimi mwenywe nilikuwa kama wewe nilikuwa nafuata ya wanadamu baadala ya mwenyezi Mungu
Hili ndio jibu stahiki kwake na linamtosha 😄Alifanya kila walichofanya Wayahudi wenzake...
Mimi ndio niliouliza swali we ukaja kuniuliza swali badala ya kujibu ila nilipokwambia mimi ndio niliyouliza swali ukasema jibu langu lipo kwenye swali lako uliyouliza, nadhani kuna sehemu unajichanganya.Nafikiri husomi kwa makini...Baada ya kujibu hoja yako hujaona swali langu?
Nipe kipimo chako cha namna ya kugundua ukweli wa matukio ya zamani Kwanza kisha Nipo hapa nitathibitisha uwepo wa Yesu.
Jibu lako kwanza Ushahidi wangu utafuatia.
Angalizo usihame katika hoja hiyo pia usitoroke.
Hata kiarabu ni lugha ya waarabu ila pia ndio lugha iliyotumika kwenye Qur'an na hata kwenye ibada hutumika lugha kiarabu ambao ni lugha ya waarabu.Naomba nifawafamishe kuwa kanzu sio vazi la kiislamu bali vazi lilikokuwa likitumiwa na watu wa maeneo ya Arabuni.
Hata Uyahudi vazi kuu lilikuwa ni "nguo iliyofumwa kuanzia juu hadi chini" (kanzu)
Tuache kuchanganya vazi na dini, hii kanzu mliletewa na waarabu kama vazi lao.
“Upumbavu wa Mungu” ni kwa nyie mnaojiona mna akili zaidi kushinda yale aliyoamrisha Mungu na huo huo mnaouona ni “upumbavu” eg Utatu Mtakatifu,Yesu kusulubiwa kufa na kufufuka kwenu mnaona ni jambo la kipumbavu ila Mungu kwa hekima yake akaona libaki kama lilivyo ili atakayekuwa tayari kuamini kinachosemekana ni upumbavu apate mema atakayeona huo ni upumbavu ampe haki yake siku ikifika.Ebu tuelezee apo huo upumbavu ni upi? hlf nitakujibuView attachment 2166129
kuna mkristo nilimuuliza akakiri kua hapa kuna makosa ktka huo mstari“Upumbavu wa Mungu” ni kwa nyie mnaojiona mna akili zaidi kushinda yale aliyoamrisha Mungu na huo huo mnaouona ni “upumbavu” eg Utatu Mtakatifu,Yesu kusulubiwa kufa na kufufuka kwenu mnaona ni jambo la kipumbavu ila Mungu kwa hekima yake akaona libaki kama lilivyo ili atakayekuwa tayari kuamini kinachosemekana ni upumbavu apate mema atakayeona huo ni upumbavu ampe haki yake siku ikifika.
Biblia haisomwi kama gazette ni kitabu kitakatifu hakisomwi ili mtu akariri kinasomwa ili mtu kuelewa.
Usiwe unaongea vitu usivyovijua,uislam umehimiza wapi kulipa kisasi!?...tofauti ya uislam na ukristu siyo kisasi,ukristu ni Imani juu ya utatu usioeleweka ilhali uislam ni Imani juu ya mungu mmoja muumba wa kila kituUkiachana na mambo ya kimwili (kuvaa, kula, kutembea nk), naona ungeweka ya kiroho, mfano, hivi Yesu alihubiri kulipa kisasi au kutoa msamaha? Nadhani hapo ndipo panapotofautisha uisilamu (unaohimiza kulipa kisasi) na Ukristu (unaohimiza kutoa msamaha)
umesikia we kafiri?