Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Lakini ukisoma kitabu chake hakina makandokando kinaeleza ukweli mtupu
Ukweli ni nini?
Kipimo cha Ukweli ni Nini?
Tutaamini vipi hiki ni kipimo sahihi cha ukweli?

Ok tuweke Kihistoria zaidi...anayewwza kutoa Fact ni Shuhuda aliyeshuhudia matukio husika.
Kama chanzo cha habari hakikuwepo eneo husika wala kukutana na wahusika tena kwa wakati husika huo unakua Udaku/Uzushi yaani taarifa za kusikia zisizofaa kuaminika

Now wapo waandishi wameandika habari kwa wakati sahihi na baadhi wakiwa wahusika kwa namna mbalimbali ndani ya 1-90AD alafu anatokea mtu asiyejua kusoma wala kuandika mwaka 600AD anasema yale hayakuwa ya kweli...

Kumuamini mtu huyo ni Lazima wewe pia utumie akili za mtu asiyejua kusoma wala kuandika..Kwa kifupi uwe MJINGA.
 
Kwahiyo point ni kutangulia kusema ndio huhesabika kuwa ni yaliyosemwa ni ya ukweli?
Kipimo cha ukweli ni Kipi?
Katika fani ya historia tuna vigezo kadhaa vya kupima ukweli wa matukio yaliyotokea zamani kisha yakabahatika kuandikwa.
Narudi kwako kipimo chako cha ukweli wa matukio ya miaka 2000 iliyopita ni kipi?
 
Yes alifanya yote wanayofanya wavaa makobazi wa sasa na alikuwa na kikundi chake cha kigaidi chenye wafuasi 12 wakieneza chuki na vitendo vya kigaidi mjini Yerusalemu na Kapenaumu. Na mwisho alinijitoa muhanga pale msalabani kama wanavyojitoa muhanga wavaa makobazi wa leo

Vipi umeridhika au?
Hahahaaaa wewe jamaa bhana
 
Mkuu nakuheshimu,Ila nakuonea huruma jinsi ulivyo mtupu kichwani.

Tatizo mnachanganya vitu viwili yaani mila na desturi na hicho unachokiita dini

Ina maana kama Yesu,Masihi angezaliwa Ngorongoro wote sahizi tuvae mashuka,masime viunoni huku wanawake wamejaza mzigo wa shanga shingoni
Na kichwani upara Dunia nzima.

Halafu kama wewe unaipenda Dini yako mbona hujajilipua mpaka muda huu

Wenzio saizi Wana baruti na mabomu mfukoni stand by kwaajili ya Allah ,we upo na Tecno yako unakuja na hoja za kipuuzi

Au hutaki mabikira sabini[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hili la mabikira 70 na mito ya k vant ni utambulisho kabisa kuwa hii Imani ni ya Lucifer kabisa
 
Kipimo cha ukweli ni Kipi?
Katika fani ya historia tuna vigezo kadhaa vya kupima ukweli wa matukio yaliyotokea zamani kisha yakabahatika kuandikwa.
Narudi kwako kipimo chako cha ukweli wa matukio ya miaka 2000 iliyopita ni kipi?
Nimeuliza swali kumbuka hilo.
 
Shughulisha akili Huoni jibu hapo...Aina ya jibu ambalo ni Swali pia.
Sawa ila una ushahidi gani kwa wanaosema Yesu hajawahi kuwepo alitungwa tu kwenye vitabu vya dini?
Hebu thibitisha kwamba kweli huyo anayeitwa Yesu alikuwepo.
 
Sawa ila una ushahidi gani kwa wanaosema Yesu hajawahi kuwepo alitungwa tu kwenye vitabu vya dini?
Hebu thibitisha kwamba kweli huyo anayeitwa Yesu alikuwepo.
Nafikiri husomi kwa makini...Baada ya kujibu hoja yako hujaona swali langu?
Nipe kipimo chako cha namna ya kugundua ukweli wa matukio ya zamani Kwanza kisha Nipo hapa nitathibitisha uwepo wa Yesu.

Jibu lako kwanza Ushahidi wangu utafuatia.

Angalizo usihame katika hoja hiyo pia usitoroke.
 
Pole sana ndugu yangu na mimi mwenywe nilikuwa kama wewe nilikuwa nafuata ya wanadamu baadala ya mwenyezi Mungu
Kweni umeona mimi nafuata ya wanadamu? Mimi nina imani yangu na pia ninaheshimu imani za wengine maana najua wazi, naweza jiona Niko sawa lakini kumbe sivyo, hata wewe hapo unaweza jiona imani yako uko sawa lakini kumbe pumba tu, na nililiona hilo kwa namna ulivyoongea, we amini ya kwamba imani yako ni nzuri na ya haki kwako, Kwa mwingine ni pumba tu, hata mimi hapa nakuona ni pumba kabisa
 
Naomba nifawafamishe kuwa kanzu sio vazi la kiislamu bali vazi lilikokuwa likitumiwa na watu wa maeneo ya Arabuni.
Hata Uyahudi vazi kuu lilikuwa ni "nguo iliyofumwa kuanzia juu hadi chini" (kanzu)
Tuache kuchanganya vazi na dini, hii kanzu mliletewa na waarabu kama vazi lao.
 
Nafikiri husomi kwa makini...Baada ya kujibu hoja yako hujaona swali langu?
Nipe kipimo chako cha namna ya kugundua ukweli wa matukio ya zamani Kwanza kisha Nipo hapa nitathibitisha uwepo wa Yesu.

Jibu lako kwanza Ushahidi wangu utafuatia.

Angalizo usihame katika hoja hiyo pia usitoroke.
Mimi ndio niliouliza swali we ukaja kuniuliza swali badala ya kujibu ila nilipokwambia mimi ndio niliyouliza swali ukasema jibu langu lipo kwenye swali lako uliyouliza, nadhani kuna sehemu unajichanganya.
 
Naomba nifawafamishe kuwa kanzu sio vazi la kiislamu bali vazi lilikokuwa likitumiwa na watu wa maeneo ya Arabuni.
Hata Uyahudi vazi kuu lilikuwa ni "nguo iliyofumwa kuanzia juu hadi chini" (kanzu)
Tuache kuchanganya vazi na dini, hii kanzu mliletewa na waarabu kama vazi lao.
Hata kiarabu ni lugha ya waarabu ila pia ndio lugha iliyotumika kwenye Qur'an na hata kwenye ibada hutumika lugha kiarabu ambao ni lugha ya waarabu.
 
Ebu tuelezee apo huo upumbavu ni upi? hlf nitakujibuView attachment 2166129
“Upumbavu wa Mungu” ni kwa nyie mnaojiona mna akili zaidi kushinda yale aliyoamrisha Mungu na huo huo mnaouona ni “upumbavu” eg Utatu Mtakatifu,Yesu kusulubiwa kufa na kufufuka kwenu mnaona ni jambo la kipumbavu ila Mungu kwa hekima yake akaona libaki kama lilivyo ili atakayekuwa tayari kuamini kinachosemekana ni upumbavu apate mema atakayeona huo ni upumbavu ampe haki yake siku ikifika.

Biblia haisomwi kama gazette ni kitabu kitakatifu hakisomwi ili mtu akariri kinasomwa ili mtu kuelewa.
 
kuna mkristo nilimuuliza akakiri kua hapa kuna makosa ktka huo mstari
acha ushabiki embu fikiria kweli Mungu wenu mnamuita mpumbavu?
 
Ukiachana na mambo ya kimwili (kuvaa, kula, kutembea nk), naona ungeweka ya kiroho, mfano, hivi Yesu alihubiri kulipa kisasi au kutoa msamaha? Nadhani hapo ndipo panapotofautisha uisilamu (unaohimiza kulipa kisasi) na Ukristu (unaohimiza kutoa msamaha)
Usiwe unaongea vitu usivyovijua,uislam umehimiza wapi kulipa kisasi!?...tofauti ya uislam na ukristu siyo kisasi,ukristu ni Imani juu ya utatu usioeleweka ilhali uislam ni Imani juu ya mungu mmoja muumba wa kila kitu
 
umesikia we kafiri?

Nasikitika kusema “umepanc” tena sana!

Usually upande wako huwa hakuna utulivu wa mafundisho,kutia chuki na maneno ya karaha ili usiendelee kubanwa ndo trick inayotumiwa kuzima kujulikana udhaifu wa imani yako!
 
Back
Top Bottom