Nakumbuka vyema alimuuliza kikatili sana sio kupona , alitoa kauli hii "bado hujafa tu " hata ikiwa mtu haumwi kweli hakuna justification ya kumtamkia mtu maneno magumu kama hayo unjustly ..Wewe mtu una ukatili sana especially kwa wanawake...
Nakumbuka sijui thread gani, one of Johanas alikua amejibu ukamu attack kwa kumuuliza kama amepona kansa yake?! WTF hili ni swali la kumuuliza mtu in public?? Mtu unayejua ana fight cancer?....
Tatizo yanayoandikwa humu kama sio private yanasomwa na kila mtu, kama ni ubaya unaonekana na wote na kama ni nzuri inasomwa na wote...and I believe japokuwa tunaweza ku act na fake ID, I believe hatu deviate sana from our real personalities...especially kama the same behaviour pattern imekuwa observed na kila mtu/..different topics..
Wanaume wa humu wamekuona immature kwa kuwa defensive katika arguments zako ..siku zote una feel attacked na majibu yako yanaishia ku attack pia. Pia uko Arrogant unajihisi lazima u win kila hoja...and last Wanaume na wanawake wamekudharau kwa Tabia yako mbaya ya ku drag down wanawake.
Uzima upo Dawud , kweli hii jamiiforums ni dunia sikuoni kabisaMiss you too! Mie nipo mwayaa, nimejaa tele
Za uzima?
Nimekosa Mimi tena Nimekosa sana 😢 🙆🏻♂️Usichukulie too serious comment za JF kama hizi,huu ni msemo tu wa humu,na hauja anza leo,
Hapana sijui hua unaiombaje,labda unipe mbinu na mimi,hua inaombwaje?
Jina la ukweli ni lipi mkuu?
Wala hujakosea mkuu.Nimekosa Mimi tena Nimekosa sana 😢 🙆🏻♂️
Ni hivi Depal kumuita Dawud kuna jamaa alikuwa anatafsiri I'd za JF kwa kiarabu . Ni hayo tu Mkuu. Ee bhana mdogo wetu Intelligent Businessman vipi ?Wala hujakosea mkuu.
Unakubalika sana JF na mimi ni mmoja wa shabiki zako.
Nimekuomba unipe mfano wa sehemu moja ulipochukiwa ili mimi na watu wengine tufanye uhakiki kuangalia kama kweli unachukiwa bila sababu, au ni wewe tu unajipa umuhimu, na pengine ku exhibit "persecution syndrome".Kwani mimi kusoma energy za watu na kusema kinacho nisibu ndo iwe kuwa ni na matatizo?
I can sense the hate and negative energy from people, I can sense that they're afraid engaging with me due to the fact that I don't sugar coat experiences, whenever something is off, I say right away.
Watu hawapendi kuambiwa ukweli Mchungu, hawapendi kuambiwa madhaifu yao, na Ukisema wanaanza kukuzushia sijui wewe kichaa, sijui naumwa na vitu kama hivyo, ilihali wao ndo wako triggered kuona kuwa wanamakosa
Huyu atakua Gunner11 maana anakasi ya ajabu amejiunga juzi tu (juma tano 7:19 PM)
Kwanza unanikosea sana kuongea kitu kibaya sana kama hicho...Wewe mtu una ukatili sana especially kwa wanawake...
Nakumbuka sijui thread gani, one of Johanas alikua amejibu ukamu attack kwa kumuuliza kama amepona kansa yake?! WTF hili ni swali la kumuuliza mtu in public?? Mtu unayejua ana fight cancer?....
Nilisha kwambia mara nyingi sana, acha kuongea vitu put of emotions, angalia ukweli ulio jificha ndani yake. Unataka tukubembeleze? Ubaya gani ambao ninao, mimi kazi yangu ni kuonesha ujinga ulio kithiri hasa kwa wanawake maana wame kuwa wakifanya mambo ya ajabu na kuanza kuwa manipulate wanaume kwa Ufuska wao wenyeweTatizo yanayoandikwa humu kama sio private yanasomwa na kila mtu, kama ni ubaya unaonekana na wote na kama ni nzuri inasomwa na wote...and I believe japokuwa tunaweza ku act na fake ID, I believe hatu deviate sana from our real personalities...especially kama the same behaviour pattern imekuwa observed na kila mtu/..different topics..
Mimi huwa naheshimika na wanaojielewa, maana wanajua huwa sinaga mba mba huwa sipaki mtu mafuta, huwa nasema ngumu Kumeza.Wanaume wa humu wamekuona immature kwa kuwa defensive katika arguments zako ..siku zote una feel attacked na majibu yako yanaishia ku attack pia. Pia uko Arrogant unajihisi lazima u win kila hoja...and last Wanaume na wanawake wamekudharau kwa Tabia yako mbaya ya ku drag down wanawake.
Kuna nyuzi nyingi sana, kwa ID nyingine ambayo nieweza kuoneshawa hate Mchungu mzima,Nimekuomba unipe mfano wa sehemu moja ulipochukiwa ili mimi na watu wengine tufanye uhakiki kuangalia kama kweli unachukiwa bila sababu, au ni wewe tu unajipa umuhimu, na pengine ku exhibit "persecution syndrome".
Lakini mpaka sasa hujatoa mfano hata mmoja.
Hujaweka link, hujatoa post.
Unalialia tu.
Haikuwa serious mkuu, ni matani tu.Nakumbuka vyema alimuuliza kikatili sana sio kupona , alitoa kauli hii "bado hujafa tu " hata ikiwa mtu haumwi kweli hakuna justification ya kumtamkia mtu maneno magumu kama hayo unjustly ..
Umemuelezea vyema sana ..
Amekamatika na nini?Hali ni tete umekamatika bwana
Hujathibitisha bado, unalialia tu.Kuna nyuzi nyingi sana, kwa ID nyingine ambayo nieweza kuoneshawa hate Mchungu mzima,
Eti nina nongwa binafsi????!!! Wewe nakujua kwani???Uishe kwa lipi?
Huyo Rebeca 83 ana nongwa binafsi na nilisha wahi kumwambia, aweke ego pembeni na aangalie ukweli maana, watu walio na ego hawawezi kukaa na kuona mambo kwa mapana
Bila Shaka wala kupepesa macho huyu ni Gunner11Who is this guy? 😹
Hii ni public forum unachoandika ni mali ya JF sio yako, so tuna haki kuku quote mashudu yako na kuongelea upumbavu wako uliouweka public! Ungetaka tusiingilie ungemtafuta private.Kwanza unanikosea sana kuongea kitu kibaya sana kama hicho...
You have no obligation kuingilia kati faragha yangu na muhusika haujui tumezoeana kiasi gani, acha kuingilia mambo yasiyo kuhusu, uliza wahusika kwanza..
Nilisha kwambia mara nyingi sana, acha kuongea vitu put of emotions, angalia ukweli ulio jificha ndani yake. Unataka tukubembeleze? Ubaya gani ambao ninao, mimi kazi yangu ni kuonesha ujinga ulio kithiri hasa kwa wanawake maana wame kuwa wakifanya mambo ya ajabu na kuanza kuwa manipulate wanaume kwa Ufuska wao wenyewe
Mimi huwa naheshimika na wanaojielewa, maana wanajua huwa sinaga mba mba huwa sipaki mtu mafuta, huwa nasema ngumu Kumeza.
Na siku zote sema kweli ndiye huchukiwa.
Mnaita tabia mbaya alafu mnaishia kukimbia hoja na kuanza ku attack mtu binafsi?